Kipindi cha "Mikingamo": Ujasiri huu umepotelea wapi?

Mkuu wangu umenikumbusha mbali sana....

Unakukumbuka wimbo(jingle) wa kipindi cha Mikingamo?....

'Bomu limeshapasuka Mabepari wanahangaika, wahujumu wanatapatapa........Walanguzi nao wako ndai eeee'

'Nilikuwa mimi silali nikihangaishwa na mawazo.........Sababu ya hao walanguzi eee'

'Nikilala nikiamkaa.....Sukari haionekani'

'Nikilala nikiamkaa.......Sabuni haionekani'

'Nikilala nikiamka aaaaa......Mfauta hayaonekani'...

'Kumbe sababu ya walanguzi eeeeeee'.................

Aisee...........

Ndo hivyo tena mkuu, kipindi kile pamoja na umasikini wetu, there was high respect among tanzanians. Life ilikuwaga poa sana, tofauti na sasa. Tuliobahatika kuyaonja maisha ya wakati ule kwa hali tunayoiona sasa hivi nchini nadhani hata wazimu unaweza kutuingia akilini kama tukisema muda wote tuwe tunalinganisha maisha. basi tena!
 
Back
Top Bottom