cluster ndara
JF-Expert Member
- Apr 1, 2018
- 211
- 318
Wakuuu nakumbuka Wakati mheshimiwa anazunguka kuomba kura alizungumzia suala la Mikopo Ya wanafunzi wa Elimu Ya juu, huyu mheshimiwa alikerwa Sana na wanafunzi kukosa Mikopo na kubaguriwa katika kupata Mikopo ikiwa ni pamoja na kucheleweshewa kupata Mikopo aliongea kuonesha anakerwa na akasema akiingia madarakani atawashughulikiwa hao wanaojiiita wakurugenzi wa bodi Ya Mikopo na alisema Hakuna mwanafunzi atakaekosa Mikopo alipoingia madarakani tulisema watendaji wa bodi Ya Mikopo kwisha habari yao, na kweli Mwaka Wa kwanza alijitahid kutoa Mikopo Kwa wanafunzi wengi. Lakini gafla inaonekana kabadili gia angani na kuonesha Ubaguzi wa Hali ya juuu wa kutoa Mikopo inaonesha kabisa kuwa sasa wanafunzi watateseka Kwa kiasi kikubwa tofauti na awamu zote zilizopita na Ubaguzi wa sasa ni mkubwa na unahatarisha hadi utaifa eti ukiwa na leseni Mtoto wako hapati au Mtoto Akiwa kasoma shule binafsi ndio basi na inaonesha hata tunakoenda kwenye ajira atabagua tu
Wakuuu hiii imetokana na nini? Na je Kama taifa tunaelekea wapi? Huyu dereva anania gani? Je watu wataweza kufika salama? Maaana kuna wengne wanawaza kuruka kwenye hili gari
Wakuuu hiii imetokana na nini? Na je Kama taifa tunaelekea wapi? Huyu dereva anania gani? Je watu wataweza kufika salama? Maaana kuna wengne wanawaza kuruka kwenye hili gari