Kipindi cha daladala ITV?

kipindupindu

JF-Expert Member
Dec 16, 2010
1,053
170
Kipindi hiki kilikuwa kinarushwa na TBC,Kuna yeyote mwenye taarifa ya nini kinachoendelea ?
 
Ni kweli nimeona promo ya Dala Dala ikiruka ITV. Hii ina maana kipindi kile ni independent program sio mali ya TBC, hivyo ITV imewaruka dau TBC wakakinunua.
Angalizo: Usije ukawa ndio mwanzo wa mwisho wa kipindi hicho kwa kufuatia uzoefu wa kile kipindi cha Kiti Moto ambacho kilianzia Chanel Ten, kikahamia ITV na huo ndio ukawa mwanzo wa mwisho wake!.
 
Kipindi cha daladala ni idea ya jamaa fulani ambao waliiuza tbc na wamemaliza mkata wao wameingia mkataba na itv jana ndiyo tulikuwa tunafanya matayarisho ya kufanya branding ya hice.
 
riport inahusika mkubwa
 
Kipindi cha daladala ni idea ya jamaa fulani ambao waliiuza tbc na wamemaliza mkata wao wameingia mkataba na itv jana ndiyo tulikuwa tunafanya matayarisho ya kufanya branding ya hice.

kwa hiyo mkataba na TBC ulikuwa haulipi?au TBC walikua wanadictate nini cha kujadili kwenye kipindi hiki.mi naona yule jamaa anayehost daladala kama vile hakuwa comfortable/free kujadili mambo against gov/ccm.
 
chafya!!!!! mh nimekaa sehemu yenye vumbi kidogo....nitaongea baadaye.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom