funny
Senior Member
- Jun 30, 2012
- 102
- 23
Naomba msaada wadau wa afya ktk hili jambo.
Kuna ndugu yangu wa kike alikwenda hospital moja manzese na kupima HIV.
Majibu yakatoka positive, lakini aliyempima akamwambia akapime sehemu nyingine kwani alitumia dawa moja tu ya kuchanganyia yapili walikuwa wameishiwa.
Je ni wazima wakati wa kupima kuwe na dawa mbili za kuchanganyia hicho kipimo?
Je kipimo alichotumia dawa moja kipo sahihi?
Naomba msaada wenu ilinimsaidie ndugu huyu.