Kipimo kizuri kitambua ukimwi ni kipi?

funny

Senior Member
Jun 30, 2012
102
23
Naomba msaada wadau wa afya ktk hili jambo.
Kuna ndugu yangu wa kike alikwenda hospital moja manzese na kupima HIV.
Majibu yakatoka positive, lakini aliyempima akamwambia akapime sehemu nyingine kwani alitumia dawa moja tu ya kuchanganyia yapili walikuwa wameishiwa.
Je ni wazima wakati wa kupima kuwe na dawa mbili za kuchanganyia hicho kipimo?
Je kipimo alichotumia dawa moja kipo sahihi?
Naomba msaada wenu ilinimsaidie ndugu huyu.
 
kwanza namtangulizia pole dada yako.kipimo kizuri chaku thibitisha HIV+ni UN GOLD japo ni ghali.dawa inayotumika kwenye HIV rapid test Its only buffer water not more sasa nashanga how comes medical personal kakwambia ametumia dawa 1..???? Pia hyo buffer water huwa haiwez ku interfair majbu kwani kazi yake ni kusaidia damu kukimbia kirahisi kwenye conjugate(colouring compounds)ivyo aiwezi kuchangia u +ve or-ve..!! Hyo ndo sababu wahuni kama sisi tukiwa lab kama amna buffer water tuna tumia ata mate corse mate yana pH ya 7.2 na reason ya kutumia buffer water ni ku avoid acidty of the water.ivyo 90% ya +ve answer huwa ni kwel.kwa ushauri wangu nenda mahabara nyngine uka rudie test by using UN-GOLD kwan hii rapid test huwa ndo ya mwisho na huwa aitoi jibu la uongo.
 
Mh,ndo maana siviaminiagi hivi vipimo vya wabongo.
kuna jamaa walipeleka maji ya mchaimchai kwa labaratory technician mmoja mpenda rushwa kumtest wakidai mkojo.
majibu yakaja eti ya UTI na kichocho.
bora huyo nduguyo mpeleka nairobi akapime,wabongo usanii full full.
 
Currently Uni Gold is the best confirmatory technique for HIV test though its a bit expensive.
 
Atakuwa alikosa buffer inayotumika kwenye kipimo cha UN -GOLD ili kuconfirm majibu.
Sina huwakika katika hili mana buffer syo important ki ivyo kwenye rapid water b'coz you can uz distled water,filted rain water or glcerol insted of buffer water.
 
Sina huwakika katika hili mana buffer syo important ki ivyo kwenye rapid water b'coz you can uz distled water,filted rain water or glcerol insted of buffer water.

Wangapi wanajua kuwa unaweza tumia distled water.
 
Mh,ndo maana siviaminiagi hivi vipimo vya wabongo.
kuna jamaa walipeleka maji ya mchaimchai kwa labaratory technician mmoja mpenda rushwa kumtest wakidai mkojo.
majibu yakaja eti ya UTI na kichocho.
bora huyo nduguyo mpeleka nairobi akapime,wabongo usanii full full.

Nimecheka sana ndg kwahiyo huyo jamaa uongo ndo life style yake
 
Back
Top Bottom