zubedayo_mchuzi
JF-Expert Member
- Sep 2, 2011
- 4,873
- 1,216
kipima joto:Kauli ya baba wa taifa kuhusu Rushwa,Je inaenziwa?
Hasilani haiwezekani kijana (kavaa gwanda) halafu anasema kuwa kiongozi wa nchi yetu sasa ndio wanapambana na rushwa sana kuliko hata wakati wa Nyerere.
Mzee Masako leo anastahili kupewa medali ya ushujaa kwa kukataa UNAFIKI NA KUSHIRIKI NA KUMODERATE MJADALA WA WATU WANAFIKI KAMA HUYO KIJANA. YAANI HATA ANGALAU HIYO MAMA ALIYEPO NDIYE ANAONEKANA MSEMA KWELI HAPO. KUENDESHA KIPINDI KAMA HIKI WATU WANA HASIRA NA YANAYOENDELEA NCHINI NI AFADHALI KUPASUA SCREEN YANGU:smash:
Yani jamaa anaongea kama amelogwa anamapenzi yasio ona.
Wewe umemuona Masako kwenye hicho kipindi au unaropoka tu.
Nipo kijijini Rwamkoma Butiama, wala sijakuelewa, tafadhali dadavua kidogo Mkuu. Heshima kwako
Wewe umemuona Masako kwenye hicho kipindi au unaropoka tu.