Kipima Joto ITV:Kauli za Mwalimu kuhusu rushwa

Hasilani haiwezekani kijana (kavaa gwanda) halafu anasema kuwa kiongozi wa nchi yetu sasa ndio wanapambana na rushwa sana kuliko hata wakati wa Nyerere.
Mzee Masako leo anastahili kupewa medali ya ushujaa kwa kukataa UNAFIKI WA KUSHIRIKI NA KUMODERATE MJADALA WA WATU WANAFIKI KAMA HUYO KIJANA. YAANI HATA ANGALAU HIYO MAMA ALIYEPO NDIYE ANAONEKANA MSEMA KWELI HAPO. KUENDESHA KIPINDI KAMA HIKI WATU WANA HASIRA NA YANAYOENDELEA NCHINI NI AFADHALI KUPASUA SCREEN YANGU, HAFADHALI MASAKO AMEKATAA LEO KUTOKANA NA WATU KAMA HUYO KIJANA MNAFIKI :smash:
 
Hasilani haiwezekani kijana (kavaa gwanda) halafu anasema kuwa kiongozi wa nchi yetu sasa ndio wanapambana na rushwa sana kuliko hata wakati wa Nyerere.
Mzee Masako leo anastahili kupewa medali ya ushujaa kwa kukataa UNAFIKI NA KUSHIRIKI NA KUMODERATE MJADALA WA WATU WANAFIKI KAMA HUYO KIJANA. YAANI HATA ANGALAU HIYO MAMA ALIYEPO NDIYE ANAONEKANA MSEMA KWELI HAPO. KUENDESHA KIPINDI KAMA HIKI WATU WANA HASIRA NA YANAYOENDELEA NCHINI NI AFADHALI KUPASUA SCREEN YANGU:smash:

Asikuumize kichwa huyo Anaitwa Risasi Mwaulanga ni Mchumia tumbo anautaka sana Ukuu wa wilaya kwa Nguvu!!
 
Nipo kijijini Rwamkoma Butiama, wala sijakuelewa, tafadhali dadavua kidogo Mkuu. Heshima kwako
 
Wewe umemuona Masako kwenye hicho kipindi au unaropoka tu.
 
Wewe umemuona Masako kwenye hicho kipindi au unaropoka tu.

TAFADHALI soma kwa makini mimi nasema apewe medali kwa kukataa kuonekana hapo kuhost wanafiki fulani ambao wanafikiri kwa kuongea upuuzi nidio wanaisaidia nchi na viongozi wetu!
 
huyu mwaibura kumbe naye ndio wale wale!huyu mwingine anayejiita balozi wa amani,ndio mganga njaa kabisa,anamfagilia jk kuwa ndiye rais mwenye nia ya dhati ya kupambana na rushwa!!nimeamua kuzima ka tv kangu naona inakula umeme 2!
 
Hivi na nyie Itv!Kweli miaka 13 ya maazisho ya Nyerere!Mmekosa watu maana,mnaleta mtu bullet yaani hata kabla hajaongea,unajua ataongea tu upuuzi!Nadhani hata Rais anakereka na wanafiki kama hawa wanaojpendeza kupitlza!Eti barozi wa amani si asime tu Barozi tumbo lake!
 
Nipo kijijini Rwamkoma Butiama, wala sijakuelewa, tafadhali dadavua kidogo Mkuu. Heshima kwako

unajua mkuu kuna watu wanafikiri kuwa wakitokea kwenye luninga na kuongea mambo kifilosofia bila kutaja matatizo kwa wazi wataonekana kuwa wanafaa. Sasa hapo muangalie na msikilize kwa makini sana mwenye (gwanda) na hata huyo Mwaibula wanasifia upuuzi sana . Hivyo namsifu Masako kwa kukataa kuwepo hapo leo akawaachia wanafiki waendeshe such a shameful episode leo! Mfano Mzee Mwaibula eti anaanza kwa kuonyesha picha halafu huyo kijana anasema aligombea akaombwa rushwa na mwenyekiti wa chama cha upinzani sawa tunajua rushwa iko kila mahali lakini je hilo ndilo la muhimu kutueleza sasa kulinganisha na ufisadi mkubwa nchini?

Je ni kweli kuna juhudi za makusudi kutoka Chama tawala kuongoza mapambano dhidi ya rushwa wakati chaguzi zote zinazoendelea watu wanahonga waziwazi na hata chaguzi hajazitenguliwa?

Mimi ningekuwa Mwenyekiti wa CCM ( T) ningeitisha kikao mara moja na kutengua matokeo ya aina hiyo na kuwafungia wagombea wote wahusika na rushwa kwa kuwazuia kugombea hata miaka kumi na mitano ijayo!! Nina hasira sana!!

Mimi Obudsman namuonya Mkurugenzi wa ITV kutokubali kuruhusu uandaaji wa such a cheap and shameful episodes eti tunasifia kuwa serikali yetu sasa inapambana sana na rushwa kuliko wakati wa Nyerere. Hii tathnmini haiitaji kutuletea watu wanaokuja hapo na kuuza sura na kutoonyesha picha eti aliishi na Nyerere wakati anachoongea ni pumba! Rafiki ya Kiongozi wa nchi hii ni yule anayesema kweli na kushauri ya kweli.
 
Wewe umemuona Masako kwenye hicho kipindi au unaropoka tu.

Unataka watu wasimueleze ukweli 'dad'... Bado 3yrs, usifikili ni mbali sana, ni sawa na 'usiku wa deni'... Lazima kitaeleweka tu, patachimbika na kumeguka vipande vipande...
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom