Kipima joto cha leo.....

sweetlady, kadogoo mzima?? mwambie mama yake wa ubatizo yupo huku, bussyyy kuandaa huo ubatizo wenyewe, by the way huyo @klorokwin ndiye baba kadogoo? tujuzane basi!
klorokwini ni asali wa moyo ila sio baba kadogoo.....baba kadogoo ni Vin Diesel ...ukimwona popote shemeji ako umpe heshima yake.....hapo ndipo moyo wangu unapodundia sawa eeh?
 
Last edited by a moderator:
weekend hii, nilitoka was hukooooo kuwaona parents na twins, ndio haswaaa nimerejea, nipo nanywa uji wa kungu ndio haswaaa kitulizo changu, huku namngojea shemeji yenu! lolest! kises kwa twins, waambi aunt cacico anawapendaje sasa??


na wao twins wanakupendaje? kusikia tu salam zako wapo kunitekuwa hapa!

kwa niaba yao mie nasema mwaaaaaah.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom