Kipima joto cha ITV leo

Shine

JF-Expert Member
Feb 5, 2011
11,481
1,364
Ktk kipima joto cha ITV leo wanahiji "Baadhi ya watoza kodi kutoza zaidi ya kiwango kilichowekwa waadhibiwe kama mafisadi?" swali langu hapa kwani ni fisadi yupi hapa Tanzania alishawahi kuadhibiwa ili tuweze kufananisha hiyo adhabu kama inawafaa!
Nawasilisha
 
kwan kipimajoto application yake ni wapi??huwa wanafanyia kazi majibu.!tusichoshane
 
Kipimajoto ni biashara, kila jibu wao wanaingiza fedha kiulaini.
 
Back
Top Bottom