Kipi ni Kishwahili fasaha hapa?

Full charge

JF-Expert Member
Mar 1, 2018
1,550
1,422
Wajuvi wa lugha mnisaidie,kwakuzingatia mzizi wa neno,kitenzi na matamshi upi ni usahihi wa maneno au sentensi hizi:

Onyesha-onesha
Kaka wake-kakaake
Hajala-hajakula
Hajaja-hajakuja

NB: Nimesahau maneno mengine tafadhali unaweza kuongeza maneno mengine
 
Back
Top Bottom