Kipi ni bora kwenda a-level au college?

kama hujui usiandike chochote. syllabus zipo tena chini ya NACTE na uzuri vyuo vyote vinatoa kuanzia NTA 4-8 yaani diploma NTA 6,higher National Diploma NTA 7 na Bachelor NTA 8

Heshima ya A Level ni kubwa sana kuliko O level mwacheni aende Advance hata akifeli ataenda hivyo Vyuo vya Ufundi au hata hivi vya Serikali za Mitaa
Kuna Wafanyakazi wangapi nawaona Serikalini hasa Bungeni, CDA wanaanzia na kazi za usafi, wanapokuja kupanda anatoa vyeti vya Shule ( A level), Chuo Kikuu na ni rahisi kumpa kozi yoyote mwenye Advance MwanazuoniMJ kasome acha haraka ya maisha utajajuta huko mbele itakapotoka nafasi wakiangalia vyeti vya Elimu huna kwani ni sawa na STD VII aliyepitia VETA na hizo Diploma zao kwenye Civil au Eng yoyote ni vigumu kuajiriwa akitokeza aliyepitia UDSM
au Chuo Kikuu wanakopitia A. Level
 
Last edited by a moderator:
Ikiwa kama umefaulu vizuri masomo ya sayansi, una hela ya kugharamia chuo, na unapenda udaktari, ufamasia n.k nakushauri achana na A- Level, nenda kasomee Stashahada ya Afya (Medical Lab., Pharmaceutical etc) baada ya miaka mitatu unaingia kazini huku ukupewa mshahara mkubwa, na marupurupu zaidi ya hao waliopitia A- Level na kutunukiwa Shahada katika kada za Biashara, Elimu n.k.
 
Kama uwezo wa kujisomesha upo bora uende chuo na kama haupo nenda A-level.Kama hela ipo unaweza ukasoma India pre-university itakuwezesha kuwa exposure na uwezo wa kuona maisha kwa upande mwengine wa shilingi!
 
Option ipi ni rahc na marketable kati ya kwenda a level au kwenda college?,waungwana nisaidieni.

Nenda college kapanue uwezo wa kufikiri,achana na watu wasio na uelewa!!!!!Halafu kumbuka A-LEVEL=Cheti
College=Cheti+Ujuzi(Professional).
 

Heshima ya A Level ni kubwa sana kuliko O level mwacheni aende Advance hata akifeli ataenda hivyo Vyuo vya Ufundi au hata hivi vya Serikali za Mitaa
Kuna Wafanyakazi wangapi nawaona Serikalini hasa Bungeni, CDA wanaanzia na kazi za usafi, wanapokuja kupanda anatoa vyeti vya Shule ( A level), Chuo Kikuu na ni rahisi kumpa kozi yoyote mwenye Advance MwanazuoniMJ kasome acha haraka ya maisha utajajuta huko mbele itakapotoka nafasi wakiangalia vyeti vya Elimu huna kwani ni sawa na STD VII aliyepitia VETA na hizo Diploma zao kwenye Civil au Eng yoyote ni vigumu kuajiriwa akitokeza aliyepitia UDSM
au Chuo Kikuu wanakopitia A. Level

Kama hujui bora ukae kimya!MIST,ATC na DIT ni vyuo vya "KIUME" na usiombe utoke A-Level uende kuchukua B-Eng katika hivi vyuo kwa maana ni SEHEMU MBAYA SANA KWA WATU WANAOKARIRI MASOMO.
 
Last edited by a moderator:
kwa uelewa wangu college ni bora, ukimaliza unakuwa tayari unaprofessional yako, unaweza hata kuomba kazi au ukaajiriwa kwa mfano sasa hivi serikali inampango wa kuajiri vijana wote wanaomaliza hizi diploma za nursing,
Pia ukimaliza college ukienda chuo unakuwa umeshapata uelewa wa vitu vingi sana masomo mengine utakuwa unarudia tofauti na mtu wa form 6 akienda chuo anaanza upya kabisa.
Pia mtu aliyemaliza diploma yake kwa mfano labda water resources anaweza kujiajiri mwenyewe mtaani na kuwa fundi bomba. kutokana na utaalamu atakao upata huko chuoni
Hakuna elimu ya form 6 inayoweza kuumpa mhitimu wake utaalamu wa kuweza kujiajiri mtaani.
Nakushauri rafiki yangu nenda college achana na A level.
Any way mbona matokeo ya form 4 bado hayajatoka? au wewe ulimaliza mwaka gani form 4? Pia unataka kwenda college gani/ kusomea kozi gani? A level unataka kwenda shule gani? kusomea combination gani? ungefafanua zaidi ningekupatia ushauri mzuri zaidi .
 
Kama uwezo wa kujisomesha upo
bora uende chuo na kama haupo nenda A-level.Kama hela ipo unaweza
ukasoma India pre-university itakuwezesha kuwa exposure na uwezo wa
kuona maisha kwa upande mwengine wa shilingi!

kwani kip ni gharama katkusoma A level ama chuo?!
 
Kama unacredit au qualifct za advance bora ungeenda advnc 2 bse even critical data in our cntry shows that large % of stdnt who manage 2have credit (c,c,c) they go 2 alevel so thnk big!
 
Ni bora kwenda chuo kwani unakuwa nakitu ambacho wengi hawana kalibuni FETA(mbegani compous) ujionee kipaji cha kuwa seaman kinavyo weza kukulipa kilahisi zaidi ya kwenda A'level
 
upuuzi mtupu

upuuzi mtupu coz hujapita njia aliyoiongelea!nimepita DIT ni moto mbaya hamna mambo ya sijui kukeri eti ulifeli test 1 umepasua test 2 unaunga sijui nini!sisi tulianza pale zaidi ya mtu 200 tuliograduate 41.ni ngumu sana kwa watu waliozoea kukariri kufanikiwa kwenye engineering science.so inakuwa rahisi sana kama umepitia dip ya eng. Sc then ukaendelea kuliko kutokea A-level.lakini kama muuza sura huko hapakufai.
 
Mkuu nenda Advance na usipagawishwe na hao wanatumia sylallabus za urusi na wakati si tupo bongo, m nilisoma HKL tu alkin sasa mambo super pia hata kama unaweza piga hata PCM EGM HGL poa tu ila cha muhimu paper la mwisho jihadhari usike ukaharibu lakin siku hizi ni E 2 tu na S 1 then chuo...............
 
Kama unasoma ili uende ukaanze kutembeza vyeti vyako kuomba kazi basi nenda a-level ila kama una kupata knowlegde ya kuweza kuajiri hvi sasa ambapo wazee wanastaafu na kupewa mikataba huku vijana wakiwa juu ya mawe na gpa zao za 4.0-5.0 kutoka vyuo vyetu vikuu. Generally ndoto ni zako na zako, ukiamua kukopi maisha ya wengine utapotea njia
 
Kama unasoma ili uende ukaanze kutembeza vyeti vyako kuomba kazi basi nenda a-level ila kama una kupata knowlegde ya kuweza kujiajiri hvi sasa ambapo wazee wanastaafu na kupewa mikataba huku vijana wakiwa juu ya mawe na gpa zao za 4.0-5.0 kutoka vyuo vyetu vikuu. Generally ndoto ni zako na zako, ukiamua kukopi maisha ya wengine utapotea njia
 
Kama unandoto za kuwa Engineer anza na college ujitahidi uelewe vizuri course zako na ufaulu vizuri then omba Bsc In Engineering achana na kufikiria Beng,Faida ya kupitia ufundo mchundo ni kwamba utajua vizuri kazi za mikono,ukiongeza Bsc unakuwa Engineer mzuri sana unaejua kazi za Mikono na una uwezo mkubwa sana wa kufanya analysis ambacho ndo kitu muhimu sana kwa engineer bora.kusoma Beng ni sawa na kuendelea kuwa fundi Mchundo hutoweza kuanalyse kiundani hata siku moja.
Kama unandoto za kuwa Ngwini anza na Advanced level.Ni hayo tu mimi nimesoma Advance PCM nikapitia UDSM Engineering ninafanya kazi na watu waliopitia College wakijiunga Beng na Bsc kwa hiyo ushauri wangu nimeutoa kwa experience niliyoiona kazini.
Hata hivyo ukiamua kupitia Advance then ukaenda Bsc inabidi utumie nguvu za ziada kutafuta vijiwe vya kujifunza kazi za mikono ili kupunguza kudanganywa na masurboordinates wako.
 
Back
Top Bottom