Ukwaju
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 13,370
- 11,091
kama hujui usiandike chochote. syllabus zipo tena chini ya NACTE na uzuri vyuo vyote vinatoa kuanzia NTA 4-8 yaani diploma NTA 6,higher National Diploma NTA 7 na Bachelor NTA 8
Heshima ya A Level ni kubwa sana kuliko O level mwacheni aende Advance hata akifeli ataenda hivyo Vyuo vya Ufundi au hata hivi vya Serikali za Mitaa
Kuna Wafanyakazi wangapi nawaona Serikalini hasa Bungeni, CDA wanaanzia na kazi za usafi, wanapokuja kupanda anatoa vyeti vya Shule ( A level), Chuo Kikuu na ni rahisi kumpa kozi yoyote mwenye Advance MwanazuoniMJ kasome acha haraka ya maisha utajajuta huko mbele itakapotoka nafasi wakiangalia vyeti vya Elimu huna kwani ni sawa na STD VII aliyepitia VETA na hizo Diploma zao kwenye Civil au Eng yoyote ni vigumu kuajiriwa akitokeza aliyepitia UDSM au Chuo Kikuu wanakopitia A. Level
Last edited by a moderator: