Kipi muhimu kati ya Lugha au Katiba Mpya?

Bunchari

JF-Expert Member
Aug 31, 2017
489
531
Habari wakuu, hamjambo?

Kipekee ningependa kuchukua wasaa huu kuwatakia waamini wa dining ya Kiislamu na madheebu yake yote kwa ujumla heri ya sikukuu na kuwakaribisha kuendelea na maisha ya Kila siku katika jamiii.

Nimetatizwa na jambo nikaona sio vibaya kama nitapata ufafanuzi kiasi. Hivi Kati ya lugha na Katiba mpya kipi Ni muhimu kwa maendeleo ya taifa? Ningependa kutoa mifano machache hapa chini kama ifuatavyo.

Lugha umsaidia common mwananchi kuwa na uelewa kuhusu mambo mbalimbali yaliyohifadhiwa kwa lugha ya Kiingereza mfano mikataba, sheria na wajibu tofauti tofauti, hii itapelekea kutotegemea watu wa chache kutetea maslahi yao.

Kwa lugha nyingine naweza kusema Kila mtu atakua na uelewa,mahali panapokosewa Ni rahisi kuona mapungufu. Nimewahi kuona mahali mkulima nguo zimechakaa anazungumza lugha nzuri ya Kiingereza kudai kuipeleka kampuni kubwa tajiri ya kimataifa nikacheka Sana.

Asanteni Sana wakuu, najua wengine hamtonielewa na wachache pia hivyo hivyo.
 
Back
Top Bottom