Kipi Bora Tanzania tuwe wengi maskini au wachache wenye maisha bora

Kijana LOGICS

Senior Member
Dec 16, 2023
140
525
Ukienda /kuishi vijijin utagundua watoto wanazaliwa ni wengi sana halafu 75% ya familia zote ni maskini..

Mfano kwimba misungwi, buchosa kijana maskini 30yrs ana watoto 5

Ukichek rasilimali zilizopo ni ardhi tu elimu wanayopata ni very poor

ukuchek serikali Ina Mipango gani na future generations ni hakuna.

Reflection ni kwamba vijana wengi wataingia kwenye cycle ya umaskin.

Once ukishaingia kwenye cycle ya umaskin kuchomoka ni ngumu sana
Huo umaskin utapass kwenye next générations etc.

Nini kifanyike.
Serikali ipambane wanafunzi wapate quality education shule za serikali watoto wanapoteza muda.

Kupitia elimu Bora tunatengeneza wasomi wanaoweza kubadil elimu kuleta impact kwenye maendeleo

Serikali itembee kwenye maono ya jpm Tanzania ya viwanda.

Ili kuweza kutengeneza viwanda Inabid tufanye maamuzi magumu
WEKA diplomasia pembeni kataza baadhi ya bidhaa zi siingie nchin tutengeneze viwanda.

Ni aibu yeboyebo wallet ,Mikanda ,ndala,makubazi,vyombo vya plastics kutoka china
 
Hili kundi lina manufaa kwa matajiri 🤣🤣acha wajae hamna tatizo..

Hao ndio wapiga kula wa Fisiemu.

Matajiri watauza sana bidhaa zao...yaani balaa mtu anazaa kula yake ya tabu kwa kweli hata mpango wa maisha yake haelewi.
 
Ukienda /kuishi vijijin utagundua watoto wanazaliwa ni wengi sana halafu 75% ya familia zote ni maskini..

Mfano kwimba misungwi, buchosa kijana maskini 30yrs ana watoto 5

Ukichek rasilimali zilizopo ni ardhi tu elimu wanayopata ni very poor

ukuchek serikali Ina Mipango gani na future generations ni hakuna.

Reflection ni kwamba vijana wengi wataingia kwenye cycle ya umaskin.

Once ukishaingia kwenye cycle ya umaskin kuchomoka ni ngumu sana
Huo umaskin utapass kwenye next générations etc.

Nini kifanyike.
Serikali ipambane wanafunzi wapate quality education shule za serikali watoto wanapoteza muda.

Kupitia elimu Bora tunatengeneza wasomi wanaoweza kubadil elimu kuleta impact kwenye maendeleo

Serikali itembee kwenye maono ya jpm Tanzania ya viwanda.

Ili kuweza kutengeneza viwanda Inabid tufanye maamuzi magumu
WEKA diplomasia pembeni kataza baadhi ya bidhaa zi siingie nchin tutengeneze viwanda.

Ni aibu yeboyebo wallet ,Mikanda ,ndala,makubazi,vyombo vya plastics kutoka china
Kwa bahati mbaya hata watu wakitoa ushauri na suluhisho na bora wenye nchi wanataka tuendelee kuwa hivihivi ili watutawale kwa urahisi

USHAURI
Jipambanie wewe na familia yako ikiwezekana na ukoo wako, matatizo ya Tanzania yana mizizi na historia lakini pia ndio mtaji kwa wanasiasa na viongozi

NCHI YETU, KIVYETUVYETU
 
Zama hizi za science na teknolojia , kuzaa watoto zaidi ya wawili uku ukiwa kipato chako ni chini ya Mil 10 Kwa mwezi nikuendeleza umasikini generation to generation.

Elimu iwe katika kutambua kuwa nguvu kazi inayohitajika imehamia katika teknolojia .
 
Nenda hospital kubwa za huku vijijin watoto wadogo wanakufa kama vifaranga

Mtoto anahitaj chupa mbili za damu mzazi uwezo wake umeishia chupa moja ya damu na kulipia kitanda,mwisho wa siku wanaruhusiwa mtoto anafia nyumban kizembe tu
 
Kilimanjaro Akili kubwa mno
Kilimanjaro Siri ya mkoa kuendelea kuwa juu kwa maisha bora na huduma toshelezi za jamii kama shule, hospital NK ni hiyo
Kilimanjaro wastani wa MTU kuzaa ni watoto 3 tu, ndio maana mashule wanafunzi wapo wachache na ubora WA élimu unaonekana
 
Zama hizi za science na teknolojia , kuzaa watoto zaidi ya wawili uku ukiwa kipato chako ni chini ya Mil 10 Kwa mwezi nikuendeleza umasikini generation to generation.

Elimu iwe katika kutambua kuwa nguvu kazi inayohitajika imehamia katika teknolojia .
Umesikia ushauri wewe Ngosha MoseKing ?
Kaambie wasikuma wenzio waache kuzaliana bila mpango la sivyo mtazidi kubaki maskini
 
Bila kuondoa ufisadi hakuna kitakachowezekana katika nchi hii.

Kikundi cha watu wachache wanapiga mpaka trilions siku hizi halafu una ndoto za kuwa na Tanzania yenye unafuu?😳

Hela za kuboresha hiyo elimu zitatoka wapi kama zote zinaishia kupigwa?

Hakuna kitakachobadilika katika nchi hii bila kubadili mifumo hii inayokumbatia mafisadi na kuyaruhusu yale kulingana na urefu wa kamba za menyewe!

1. CCM iondoke!

2. Katiba mpya

3. Mahakama huru

4. Mafisadi yote yakamatwe, mali zao zitaifishwe na menyewe yote yanyongwe hadharani huku wananchi wakishangilia!🤸🏿‍♂️🤸🏿‍♂️

5. Halafu tuanze moja sasa!
 
Ukienda /kuishi vijijin utagundua watoto wanazaliwa ni wengi sana halafu 75% ya familia zote ni maskini..

Mfano kwimba misungwi, buchosa kijana maskini 30yrs ana watoto 5

Ukichek rasilimali zilizopo ni ardhi tu elimu wanayopata ni very poor

ukuchek serikali Ina Mipango gani na future generations ni hakuna.

Reflection ni kwamba vijana wengi wataingia kwenye cycle ya umaskin.

Once ukishaingia kwenye cycle ya umaskin kuchomoka ni ngumu sana
Huo umaskin utapass kwenye next générations etc.

Nini kifanyike.
Serikali ipambane wanafunzi wapate quality education shule za serikali watoto wanapoteza muda.

Kupitia elimu Bora tunatengeneza wasomi wanaoweza kubadil elimu kuleta impact kwenye maendeleo

Serikali itembee kwenye maono ya jpm Tanzania ya viwanda.

Ili kuweza kutengeneza viwanda Inabid tufanye maamuzi magumu
WEKA diplomasia pembeni kataza baadhi ya bidhaa zi siingie nchin tutengeneze viwanda.

Ni aibu yeboyebo wallet ,Mikanda ,ndala,makubazi,vyombo vya plastics kutoka china

umasikini hauletwi na uwingi
mnaweza kua wachache bado masikini

umasikini ni kushindwa kutumia akili, malighafi na mawazo kujitajilisha.

Unaweza amini kuna nchi zinategemea kuuza software, au domain kama .com, .tv na .org

Sasa hapo n malighafi gan???

China inalisha watu bilion 1.43 wanarasilimali gan ambazo wengine hawana??
 
1.4b in china Ila walio kweny chain ya umaskin
 
Back
Top Bottom