Kipi Bora Tanzania tuwe wengi maskini au wachache wenye maisha bora

Kijana LOGICS

Senior Member
Dec 16, 2023
140
525
Ukienda /kuishi vijijin utagundua watoto wanazaliwa ni wengi sana halafu 75% ya familia zote ni maskini..

Mfano kwimba misungwi, buchosa kijana maskini 30yrs ana watoto 5

Ukichek rasilimali zilizopo ni ardhi tu elimu wanayopata ni very poor

ukuchek serikali Ina Mipango gani na future generations ni hakuna.

Reflection ni kwamba vijana wengi wataingia kwenye cycle ya umaskin.

Once ukishaingia kwenye cycle ya umaskin kuchomoka ni ngumu sana
Huo umaskin utapass kwenye next générations etc.

Nini kifanyike.
Serikali ipambane wanafunzi wapate quality education shule za serikali watoto wanapoteza muda.

Kupitia elimu Bora tunatengeneza wasomi wanaoweza kubadil elimu kuleta impact kwenye maendeleo

Serikali itembee kwenye maono ya jpm Tanzania ya viwanda.

Ili kuweza kutengeneza viwanda Inabid tufanye maamuzi magumu
WEKA diplomasia pembeni kataza baadhi ya bidhaa zi siingie nchin tutengeneze viwanda.

Ni aibu yeboyebo wallet ,Mikanda ,ndala,makubazi,vyombo vya plastics kutoka china
 
Back
Top Bottom