ummu kulthum
JF-Expert Member
- Feb 6, 2012
- 2,785
- 1,317
safi sana kipanya! keep it up
Shindwa!! Kati jina la "Amani na Upendo"!!!
ashindwe nini kwani kaandika uongo?
Kipanya mwenyewe muislam kasema ukweli tupu
bar zote kipindi cha mfungo zilikuwa zimedoda
kitimoto kilikuwa hakina soko ukiagiza fasta unaletewe lakini kuanzia j2 mambo yamebadilika bar zinajaa hata kiti wakosa
Kipanya umewasemea vema wengi wao walikuwa hawafungi bali kubuy time
Uislaam hauwafundishi hivyo. Kama kuna Muislaam kapotea si kwa kuwa anafundshwa hivyo, lakini wenzetu hata mnapokatazwa nguruwe kwenye biblia anaibuka mtu na kanisa lake anasema hiyo ruksa mnafata.
Mnajifanya hamtumiii? Kwani hatuwaoni huku mitaani jamani au mnataka tuanze kutajana majina? Sio vizuri kuchokoza watu walioamua kuficha siri kiutu uzima.
Mimi naona pia unalako unalitafuta, sasa kuna ubaya gani watu wakitafuta haki zao, unajua nini maana ya hizo takwimu za uongo...
Usikurupuke, kama halikuhusu kaa kando.
Hakuna tusi dhidi ya waislam hiyo ni tafsiri yako.