Kipanya Atukana Waislamu?

Asante Kipanya kwa kutukumbusha kua baadhi ya waislam
wanasubiri ramadhan iishe tu ili warudie tabia zao ambazo
haziendani na mafunzo ya kiislam. We will pray for them
allah awawezeshe kuachana na tabia hizo, insha'allah.
Hakuna alie kamilika.
 
halafu hii tabia ya binaadamu kumtengea mungu mwezi mmoja tu na mingine yote kuendeleza maasi hii sijui tumeitoa wapi,halafu kipanya yupo sahihi sababu hata majumbani mwetu walikuwepo kibao waliokesha baa na wengine wamesugua sana vu......i sasa hapo kipanya kakosea nini.
 
Hajatukana na huo ni ujumbe mzuri kuwa jamani, misikiti, ibada na Ucha-Mungu si kwa mwezi wa Ramadhani tu, ni kila siku.
 
ashindwe nini kwani kaandika uongo?
Kipanya mwenyewe muislam kasema ukweli tupu
bar zote kipindi cha mfungo zilikuwa zimedoda
kitimoto kilikuwa hakina soko ukiagiza fasta unaletewe lakini kuanzia j2 mambo yamebadilika bar zinajaa hata kiti wakosa
Kipanya umewasemea vema wengi wao walikuwa hawafungi bali kubuy time
Shindwa!! Kati jina la "Amani na Upendo"!!!
 
ashindwe nini kwani kaandika uongo?
Kipanya mwenyewe muislam kasema ukweli tupu
bar zote kipindi cha mfungo zilikuwa zimedoda
kitimoto kilikuwa hakina soko ukiagiza fasta unaletewe lakini kuanzia j2 mambo yamebadilika bar zinajaa hata kiti wakosa
Kipanya umewasemea vema wengi wao walikuwa hawafungi bali kubuy time

Uislaam hauwafundishi hivyo. Kama kuna Muislaam kapotea si kwa kuwa anafundshwa hivyo, lakini wenzetu hata mnapokatazwa nguruwe kwenye biblia anaibuka mtu na kanisa lake anasema hiyo ruksa mnafata.
 
Uislaam hauwafundishi hivyo. Kama kuna Muislaam kapotea si kwa kuwa anafundshwa hivyo, lakini wenzetu hata mnapokatazwa nguruwe kwenye biblia anaibuka mtu na kanisa lake anasema hiyo ruksa mnafata.

Wewe unavyoona, nani mlaji mkubwa wa kitimoto mjini hapa? Mungu tutamuona as individuals. Sio kwa jumla jumla kama timu ya mpira maana tafsiri ya watu kwenye maandiko yake kila mtu anaijua moyoni mwake.
 
acha uchochezi...pia baadhi yao kweli niwalevi na nafunga kwa mkumbo...ila no evidence over the kibonzo....uchochezi tuu
 
Tunakuelewa sana kwa ufitini wa kidini Plato nimekuwa nafuatilia sana post zako zote ni kufitini tu ,so wala hatupati shida na kereng'ende kama wewe.
 
Kipanya kasema kweli sio uongo... mfungo ramadhani watu walikuwa hawaonekani kwenye mabaa anawakumbusha kuwa waendeleze yale yote waliokuwa wanayafanya kipindi cha mfungo yasiwe mambo ya msimu!
 
Sasa matusi yako wapi hapa? Unataka kutuaminisha kuwa mashehe wote waliofundisha wakati wa Eid wametukana? Unataka kutuambia kuwa hata makamu wetu wa Rais hapo juzi ametukana alipowaambia waislam kuwa mwisho wa mwezi mtukufu usiwe mwisho wa kutenda yampendezayo Mungu? Plato acha uchochezi. Hajatukanwa mtu wala jamii ya watu hapa. Amefikisha tu ujumbe mwafaka; kwa njia mwafaka; kwa wakati mwafaka ila pengine kwa watu mchanganyiko kwani wapo wenye mawazo potofu kama wewe.
 
Mimi naona pia unalako unalitafuta, sasa kuna ubaya gani watu wakitafuta haki zao, unajua nini maana ya hizo takwimu za uongo...

Usikurupuke, kama halikuhusu kaa kando.

swali ningependa unjibu..
kipengele cha kujua ka we muislamu au lah..
eheee ukidhajua...? itasaidia kupunguza inflation? bring back stolen sectors etc. au kuongeza ubaguzi tu na kutaka usawa...
kwenye usawa apo naomba usini quote vibaya..ukihitaji ufafanuzi uliza napo nitakufafanulia madam xyzzz.
ni mimi sir abc
 
Back
Top Bottom