Kipanya anatisha kwa ujumbe wake wa Cartoons...

Mzee wa Rula

JF-Expert Member
Oct 6, 2010
8,171
3,346
SAM_3902.JPG

Huu ndiyo usanii tunaouhitaji.
 
dahhhh! hahahahahhahahahahahhahhahaahh1!11111!!1 mamaaaaa mabvu zangu.

naomba kujua kiingilio sh ngapi waheshimiwa, siwez kosa hili movie. IYO KAMPUNI YA PRODUCTION HUWA NAIKUBALI SANA.

Vipi na ile movie ya loliondo kikombe cha babu, kugushi signature ya liwalo na liwe
 
Mr Rocky hivi wewe bado unaisubiri? Mbona movie ilishaanza muda mrefu tu na sasa nadhani iko episode ya 3? Shauri yako utakuja kushtuka wakati inaisha.
mwaJ aaahhh mi utamu wa movie bana niangalie episode zote sio niangalie moja then iishie nisubiri ya pili
Ndo maana nasubiri episode zote ziiishe nianze kuiangalia
 
Last edited by a moderator:
mwaJ aaahhh mi utamu wa movie bana niangalie episode zote sio niangalie moja then iishie nisubiri ya pili
Ndo maana nasubiri episode zote ziiishe nianze kuiangalia

Unaposubiri zikamilike zote utamu wa movie unaharibiwa na watu wanaopenda kusimuliasimulia kila wanapoona episode moja.
 
mwaJ ngoja niianze basi episode ya kwanza na ya pili na ya tatu nisubirie zitakazoendelea
 
Last edited by a moderator:
Script itakuwa imeandaliwa magogoni, ningependa kumfahamu Continuity Director wa movie hizi!
 
Kwanini kinara wa picha (sterling) atoke Kenya kwani sisi hatuna wasanii wazuri nchini kwetu. Yaani kweli kila fani hatuna wataalamu jameni, hata kwenda Pande tunahitaji wageni......

kila kitu ni uwekezaji mkuu, na huko nako tuwekeza tehe tehe tehe
 
Nitalitafuta hili movie nimuone aliyeandika SCRIPT tu!

Inasambazwa na kampuni ya "Zilongwa mbali Zitendwa mbali Entertainment " pata nakala yako sasa pale kwenye viwanja vya mjengoni, bado wahusika wapo pale wanasikilizia bajeti yao.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom