Kipande gani safarini huwa unakifurahia uwapo barabarani

Hamna safari nzuri kama ile ya kitandani kwenda msalani(chumba self) unatoka bila kuwasha taa, unafanya yako unarudi hadi ktandani ukiwa umefumba macho kutopoteza ka usingz! Hio safar bomba asikwambie mtu
we jamaa mvivu sana ha ha ha ha ha chumbani kuwe na AC alafu umelala na pisi ukiludi unaiangalia kuwa hii naichakata
 
Nikiwa ndani ya KLM airway

Kipande cha Ethiopia to U. A. E
Kuna madhari nzuri sana maeneo ya pembe ya Africa ila hali ya hewa iwe shwari nlibahatika kuona mara mbili tu kwenye Safari zangu Zote
mkuu kuna scenery ya uwanja wa ndege KIA uwe unashuka na ndege asubui kalibu mnatua kuangalia wale wamasai na punda wao wanaendelea na maisha yao huwa napenda sana kuna siku pilot alizungusha ndege kama mala mbili hivi nili enjoy sana
 
1. Same - Korogwe

2. Ruaha Mbuyuni - Igawa

3.Iringa - Dodoma (matrafiki wachache na magari ni machace)

4.Babati - Kondoa - Dom

5. mpika - Kapiri Mposhi

6. Kapiri Mposhi - Lusaka

7. Beit Bridge - Johburg.
Kapirimposhi to ndola
 
kwenda moro dar ukiwa na private car kula lunch ile restaurant pale msolwa filling station so relaxing alafu mule ndani unakutana na ma VIP tu nishakaa meza moja na mawaziri wawili tukawa tunapiga story kama wanachi wa kawaida tu
kuna siku nilikutana na Ridhiwani Kikwete meza moja
 
Hamna safari nzuri kama ile ya kitandani kwenda msalani(chumba self) unatoka bila kuwasha taa, unafanya yako unarudi hadi ktandani ukiwa umefumba macho kutopoteza ka usingz! Hio safar bomba asikwambie mtu
 
kwenda moro dar ukiwa na private car kula lunch ile restaurant pale msolwa filling station so relaxing alafu mule ndani unakutana na ma VIP tu nishakaa meza moja na mawaziri wawili tukawa tunapiga story kama wanachi wa kawaida tu
Una tatizo la Afya ya akili,tafuta wataalamu
 
Tupeane uzoefu katika Tanzania yetu hii na dunia kwa ujumla. Mara nyingi huwa tunasafiri katika kutafuta mahitaji yetu mbali mbali ndani ya miji yetu, mikoa na hata nje ya nchi.

Hayo ya kukwea mapipa wengine hatujayaonja, tunayaona tu kwenye mamuvi. Hivyo wacha nizungumzie kuhusu suala lililopo ndani ya uwezo wangu katika safari nayo ni mabasi ya abiria.

Leo Niko safarini kutoka MBEYA kuelekea CHALINZE.

Hua mafurahi sana nikipita maeneo ya Mto Ruaha pale. Ukishamaliza kushuka kitonga Hadi unaikamata miku mijini.

Kipande kile bwana nakipenda Sana mandhari yake na gari jinsi inavofunguka.

Hebu twambie ni sehemu gani unaielewa zaidi unapo safiri?
Uko sahihi mkuu na kufafanua zaidi ni kutamu ukianzia Mikumi ad Mbuyuni ni lami alafu kuna mandhari nzuri na kupandisha milima tu na kushusha
 
Back
Top Bottom