Kipande gani safarini huwa unakifurahia uwapo barabarani

Dar-Rufiji.
Hii safari huwa naifurahia sana tukifika pale Ikwiriri daraja la mkapa kuna kipepo fulani hivi.
 
Hamna safari nzuri kama ile ya kitandani kwenda msalani(chumba self) unatoka bila kuwasha taa, unafanya yako unarudi hadi ktandani ukiwa umefumba macho kutopoteza ka usingz! Hio safar bomba asikwambie mtu
Hivi kwanini ukifungua macho tu ukaenda short call na kurudi on bed huwezi lala tena

Ila ukiyafumba unapata usingizi tena
 
Hivi kwanini ukifungua macho tu ukaenda short call na kurudi on bed huwezi lala tena

Ila ukiyafumba unapata usingizi tena

Sio Mwanasayansi,,ila naamini ipo mishipa ya faham huwa inafanya kazi sambamba na misuli ya macho wakati umepata usingizi. Kitendo cha kui disturb kwa kupepesa macho inarudi kwenye normal state ya kumhudumia mtu aliye macho. Kumbuka Mwanadam anakaa macho muda mwingi kuliko kulala, so kuiaminisha tena kuwa huo haukuwa muda wako wa kuamka ndo shuhuli inapoanza hadi Swalaaa!.
 
we jamaa uko dunia gani mbona kitu cha kawaida sana hivi kuna watanzania hawana exposure kiasi hiki unashangaa kuweka AC chumbani
Hata mm naona maajabu mtu anashangaa AC kuwekwa chumbani!!?
binadamu tunatofautiana kwa range kubwa sana!
 
1. Same - Korogwe

2. Ruaha Mbuyuni - Igawa

3.Iringa - Dodoma (matrafiki wachache na magari ni machace)

4.Babati - Kondoa - Dom

5. mpika - Kapiri Mposhi

6. Kapiri Mposhi - Lusaka

7. Beit Bridge - Johburg.
Inaonekana wewe ni mtu wa masafa sana mkuu...
 
Sio Mwanasayansi,,ila naamini ipo mishipa ya faham huwa inafanya kazi sambamba na misuli ya macho wakati umepata usingizi. Kitendo cha kui disturb kwa kupepesa macho inarudi kwenye normal state ya kumhudumia mtu aliye macho. Kumbuka Mwanadam anakaa macho muda mwingi kuliko kulala, so kuiaminisha tena kuwa huo haukuwa muda wako wa kuamka ndo shuhuli inapoanza hadi Swalaaa!.
Hii ni kweli kabisa
 
Kwenye mteremko wa kwa sadala pale nikiwa na baiskeli yangu huwa huwa naseleleka tu kama Mr bean.
Screenshot_2020-08-13-08-08-20-1.jpg
 
Kipande Cha chalinze segera sikipendi kwakweli kirefu halaf kaiishi
Kipande Cha Kona za iyovu nakipenda japo kinatisha manzari nzuri, mto ruaha , milima ya udzungwa, nyani
 
Pale mabasi yanaposimama hoteli watu wa makamo hujikuta baada ya kutoka kununua chakula wanasahau kuwa ni gari ipi aliyekuwemo hasa inapotokea gari mbili za kampuni moja zote zimepaki hapo muda huo
Mkuu hii huwa inamtokea mtu yeyoye, kama hukulimark basi lako vizuri wakati ukishuka utajishtukia ukipanda basi ambalo silo...
 
Hamna safari nzuri kama ile ya kitandani kwenda msalani(chumba self) unatoka bila kuwasha taa, unafanya yako unarudi hadi ktandani ukiwa umefumba macho kutopoteza ka usingz! Hio safar bomba asikwambie mtu
Duh hiyo tabia hata mie inayo sana..
Kuwasha taa naona kama itaniharibia usingizi
 
Back
Top Bottom