Kipandauso (migraine): Chanzo, Dalili, Tiba na jinsi ya kujikinga na tatizo hili

With this description you stated, hio sio kipanda uso! hizo ni brain stress road-map!
re-arrange and re-manage your brain concern activities! pumzika sana muda mrefu, fanya kazi laini laini sio za kufikirisha!

Kama una mpenzi wa kiume, better spend most of your time with him talking about null shits not serious matters!( not necessarily kutombana)! utapona!
Thanx mkuu ngoja nichukue likizo..ila huyo mpenzi wangu nikikaa nae tutaongea nini zaidi ya mgegedo?
 
thax mkuu ngoja nichukue likizo..ila huyo mpenzi wangu nikikaa nae tutaongea nini zaidi ya mgegedo?

Not bad kugegedana just for relaxation! sio mnafanya ile kama vile mnaonyeshana uwezo! fanyeni kama sehemu ya tiba! utapona!
 
cheki blood pressure kwanza pia kwani ndio chanzo kikubwa cha kipanda uso.dawa yake ni vasograin na inapatikana kwenye pharmacy
Nimepima ipo 107/71 mkuu na hiyo dawa nimepewa. Ubarikiwe sana.
 
Blood Pressure: 107/71

Learn About Normal Blood Pressure



250x.jpg

The information below is designed to help you understand what your latest blood pressure readings may mean for your health -- and to provide tips on what you can do to get or keep your blood pressure in a healthy zone.

NOTE: This information isn't a substitute for medical advice provided by your doctor. If you think you might have hypertension or pre-hypertension, be sure to discuss your blood pressure concerns with a doctor or nurse, who can help you factor in other important information, such as other medical problems you may have. In particular, the information below and in the related links may not always apply to those who are very old, very frail, or have multiple chronic medical conditions. View the full blood pressure chart.

What a blood pressure reading of 107/71 means

Readings above 90/60 and below 120/80 indicate that the pressure in your arteries is considered normal for most adults. However, in some cases, a systolic blood pressure ≤110 can be associated with dizziness when standing. This is more likely to happen to older adults or to people who usually have a much higher blood pressure.

What to do if your blood pressure reading is 107/71
  • If you feel fine and aren't on any blood pressure medications, keep on the health path you're on.
  • If you're on blood pressure medications and your systolic blood pressure is often ≤110, ask your doctor about adjusting your dosages. You may be taking more blood pressure medications than you need.
  • Consider lifestyle changes that promote health and can minimize the chance of future high blood pressure:
    • Stop smoking.
    • Lose weight or maintain healthy weight.
    • Increase physical activity.
    • Lower salt intake.
    • Limit caffeine.
    • Limit alcohol.
    • Reduce stress.

Notes from the geriatrician on the care of those ages 80 and over:

This range of blood pressure can be a little concerning to geriatricians, especially if the patient is taking blood

pressure medications and often has a systolic blood pressure ≤110. (This is assuming the older person doesn't

have heart failure or another chronic medical condition that will benefit from better blood pressure control.)

This is because as people get older or more chronically ill, they become more likely to develop side effects from

blood pressure medications, such as dizziness when they first stand up. For this reason, if there's been any

concern about falls or dizziness, make sure your (or your loved one's) blood pressure has been checked for

"postural" or "orthostatic" changes.

Even if an older person has been feeling fine, if he or she is being treated for high blood pressure, the medications

may be working a little better than they need to. This should be discussed with a doctor, to see if a change in

dosage might make sense. (This is sometimes also a good opportunity to reduce pill burden and monthly

medication expenses, too.) In fact, unless a person has medical problems that specifically benefit from lower blood

pressure, it's not clear that older adults do better when their high blood pressure is treated to ≤120 rather than ≤140.

bibie Smile upo Kwa Pressure ila kama unalewa punguza ulevi,kam unakunywa kahawa punguza kunywa kahawa,kamauna mwili mkubwa punguza kula vitu vya mafuta,kama mawazo jaribu pia kupunguza mawazo utakuwa upo poa.
 
Last edited by a moderator:
Ndugu zanguni naomeni msaada wenu. Ninasumbuliwa sana na kichwa katika eneo la utosini kwa muda mrefu sasa. Nilipimwa vipimo mbalimbali kuanz damu na sikuonekana na tatizo. Nimepewa dawa mbalimbali bila mafanikio. Nilipimwa miwani nikashauriwa niivae huenda tatizo ni macho. Sasa ni mwaka tokea nianze kuvaa sijapata nafuu. Nimekuwa nikitumia dawa za kupunguza maumivu ambazo wakati fulani hunisaidia na wakati mwingine hazinisaidii.

Ninaombwa kwa yeyote anayeweza kunielekeza hospitari au Dr ambaye anaweza kunichunguzwa ipasavyo ni nikatibiwa maana napata taabu sana ndugu zangu.
 
Jaribu kutumia birutubisho hiyo itakuwa unamapungufu fulani mwilini check na hawa watu watakusaidia 0758768855
 
Mkuu, nakuombea kwa mods wahamishie ktk jukwaa la afya ili wataalam wakusaidie zaidi.
 
Unaishi wapi? Umeanza lini kuumwa hivi? Uzito wako ni kiasi gani? Ningekushauri upeleke hili jambo kule JF Doctor pia.
 
Ndugu zanguni naomeni msaada wenu. Ninasumbuliwa sana na kichwa katika eneo la utosini kwa muda mrefu sasa. Nilipimwa vipimo mbalimbali kuanz damu na sikuonekana na tatizo. Nimepewa dawa mbalimbali bila mafanikio. Nilipimwa miwani nikashauriwa niivae huenda tatizo ni macho. Sasa ni mwaka tokea nianze kuvaa sijapata nafuu. Nimekuwa nikitumia dawa za kupunguza maumivu ambazo wakati fulani hunisaidia na wakati mwingine hazinisaidii.

Ninaombwa kwa yeyote anayeweza kunielekeza hospitari au Dr ambaye anaweza kunichunguzwa ipasavyo ni nikatibiwa maana napata taabu sana ndugu zangu.
Mkuu.@FLASH HIDEMaradhi ya kichwa yanasababishwa na matatizo Mengi mojawapo ni ukosefu wa usingizi ikiwa hupati usingizi wa kutosha masaa 8 unatakiwa ulale au unalala wakati mdogo kisha unamka utakuwa unaumwa na kichwa .Ikiwa hupati choo Constipation unaweza pia kuumwa na kichwa ukiwa pia una mawazo unaweza pia kuumwa na kichwa na ukiwa na stress pia inasababishwa kuumwa na kichwa sasa wewe yote hayo umesha pima hospitali? Ninakuomba unijibu hayo maswali yangu.
 
Nimejaribu kila njia. Kunywa maji mengi, kulala/kupumzika muda wa kutosha/ miwani na hata baadhi ya dawa bila mafanikio. Nimejitokeza hapa baada ya kukwama kabisa na hali kuwa mbaya.
 
Huu ni mwaka kama wa nne sasa naumbwa ingawa ni kwa vipindi. Siwezi kukaa mwezi mzima bila kuumwa. Uzito wangu ni 66 KG na umri ni miaka 34.
 
Ndugu zanguni naomeni msaada wenu. Ninasumbuliwa sana na kichwa katika eneo la utosini kwa muda mrefu sasa. Nilipimwa vipimo mbalimbali kuanz damu na sikuonekana na tatizo. Nimepewa dawa mbalimbali bila mafanikio. Nilipimwa miwani nikashauriwa niivae huenda tatizo ni macho. Sasa ni mwaka tokea nianze kuvaa sijapata nafuu. Nimekuwa nikitumia dawa za kupunguza maumivu ambazo wakati fulani hunisaidia na wakati mwingine hazinisaidii.

Ninaombwa kwa yeyote anayeweza kunielekeza hospitari au Dr ambaye anaweza kunichunguzwa ipasavyo ni nikatibiwa maana napata taabu sana ndugu zangu.
Nenda Hospitali yenye huduma ya MRI .
 
Huu ni mwaka kama wa nne sasa naumbwa ingawa ni kwa vipindi. Siwezi kukaa mwezi mzima bila kuumwa. Uzito wangu ni 66 KG na umri ni miaka 34.Nimejaribu kila njia. Kunywa maji mengi, kulala/kupumzika muda wa kutosha/ miwani na hata baadhi ya dawa bila mafanikio. Nimejitokeza hapa baada ya kukwama kabisa na hali kuwa mbaya.
 
Nimejaribu kila njia. Kunywa maji mengi, kulala/kupumzika muda wa kutosha/ miwani na hata baadhi ya dawa bila mafanikio. Nimejitokeza hapa baada ya kukwama kabisa na hali kuwa mbaya.
Mkuu FLASH HIDER Sijatosheka na maelezo yako na siwezi kukupa dawa mpaka uniambie kwa kirefu je ulikwenda Hospitali gani? Je umefika hata Muhimbili? Huna Matatizo ya Ukosefu wa kupata choo?

Kuumwa na kichwa / kipandauso

Maumivu ya kawaida ya kichwa huweza kutulizwa na dawa za kuzuia maumivu za aina ya Panadol au aspirini.Iwapo unahisi hayo maumivu kwenye kipji cha uso wako, mashavuni na

sehemu zilizo karibu na macho zikifura, kuna uwezekano kuwa umeambukizwa sehemu za kukaza pumzi puani.Iwapo utashikwa na maumivu makali ya kichwa ambayo hayapoi, haikosi

kuna uwezekano kuwa umeanza kushikwa na ule ugonjwa sugu wa kipandauso.
Kipandauso (migraine) kina maumivu zaidi kuliko kuumwa kichwa kwa kawaida.Kipandauso

huathiri upande mmoja wa kichwa na kuleta kisunzi,au kutaka kutapika.Iwapo unahisi kipandauso unaweza kuona vimulimuli kutokana na muangaza.Pia unaweza kuhisi maumivu

makali kwenye jicho moja mara kwa mara.

Ukipatwa na kipandauso, muone daktari wako akuchunguze ili akupe ushauri .Unapopatwa na kipandauso lala chini palipo na utulivu katika chumba kilicho giza kuzuia miale ya jua

yanayosababisha kichwa kiume zaidi.

Jaribu usinywe kakao, pombe ama kinywaji chochote kilicho na kakao.Hivi vinaweza kusababisha kipandauso, kunywa maji mengi kila siku.

Utahitajika kumuona daktari ikiwa:
  • Unaumwa na kichwa na hakipoi kwa muda wa juma moja ingawa umemeza dawa za kuzuia maumivu.

Utahitajika kwenda kwa chumba cha dharura ikiwa:
  • Una matatizo unapozungumza, au unasikia kizunguzungu, miguu haina nguvu. Kuna uwezekano kwamba umeanza kupatwa na ugonjwa wa pigo.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom