Kipa wa arsenal wojciech szczesny na vioja

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,146
13,216
[FONT=garamond, serif]Kipa wa arsenal alishindwa kuvumilia na kuamua kumfuata muokota mipira(Ball -Boy) na kumkumbatia baada ya Theo Walcot kufunga goli la tano dhidi ya Tottenham Hotspurs katika mechi iliyopigwa jumapili mwisho wa wiki iliyopita.[/FONT]
thumb.png
 
Back
Top Bottom