KIONGOZI wa Chama Cha Demokrasi na Maendeleo (chadema) Wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara ( jina linahifadhiwa) anashikiliwa polisi akidaiwa kufuja Sh 600,000 fedha za mfuko wa Elimu wa wakazi wa Kazamoyo.
Mwenyekiti wa Kamati ya Mfuko wa Elimu, Mtaa wa Kazamoto, mjini mdogo wa mererani, Sokoto Mbuya alisema kiongozi huyo alifuja fedha hizo akiwa mweka hazina wa kamati hiyo na alipewa Sh 1.045 milioni walizopata kutokana na michango ya wananchi wa mtaa huo ambao kila mkazi alichangia Sh 500.
Alisema walimpa fedha hizo awe nazo kutokana na nafasi yake ya mweka hazina wa mfuko huo na walitoa Sh 445.000 kwa ajili ya kununulia vifaa vya shule ya msingi Endiamtu na fedha zilizobaki akawa anawazungusha wajumbe kuzitoa. kamanda wa polisi wa mkoa wa manyara, Parmena Sumary, alidhibitisha kukamwatwa kwa katibu huyo wa Chadema.
SOURCE: MWANANCHI MEI 26, 2011
Sasa hapa unatueleza Utumbo gani wewe mtoto wa Msanii wa kucheza Kiduku! Kwanza tuambie ile kesi uliyodai utaifungua imeishia wapa wewe Fisadi mtoto! Sasa mtu akiiba si anapaswa kupelekwa mahakamani na si kutulete thread ya Uozo hapa? Mwizi anaweza kuwa na Itikadi yoyote tu ya kisiasa, hapa tunachopinga ni Mwizi kulindwa kama wanavyofanya CCM kuwalinda wezi ndio maana tunakilaumu CCM.
Siku nyingine usilete thread za Kise.....e kama unatoka kuharisha mbegu ulizotumbukizwa usiku
Hii ni tabia ambayo naona kwangu ni ya kawaida, kama ushahidi utaonyesha huyu bwana ametenda kosa ndio maana mahakama zipo!! Anaweza kuwa mwanachama wa Magamba au CDM ila kwa utawala wa sheria mtu anahukumiwa kwa makosa aliyofanya kwa mujibu wa sheria, ila kwa Magamba mnaona kulindana na kutofikishana mbele ya sheria ndio ujanja!! Ndio maana mnachukiwa na wenyenchi!! After row hivyo ni vihela vidogo kama kuna records utakuta labda huyo muhusika alikwenda kununua gauni la wife akitegemea atarudisha kabla ya wenyewe kuzihitaji!! Pia Kunachotufanye nchi ikose maendeleo sio Laki sita (600,000) za hao ndugu walizochanga ila ni wizi wa kodi zetu huko juu!! This looks like very petty petty thing not supposed to be discussed here!!!
KIONGOZI wa Chama Cha Demokrasi na Maendeleo (chadema) Wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara ( jina linahifadhiwa) anashikiliwa polisi akidaiwa kufuja Sh 600,000 fedha za mfuko wa Elimu wa wakazi wa Kazamoyo.
Mwenyekiti wa Kamati ya Mfuko wa Elimu, Mtaa wa Kazamoto, mjini mdogo wa mererani, Sokoto Mbuya alisema kiongozi huyo alifuja fedha hizo akiwa mweka hazina wa kamati hiyo na alipewa Sh 1.045 milioni walizopata kutokana na michango ya wananchi wa mtaa huo ambao kila mkazi alichangia Sh 500.
Alisema walimpa fedha hizo awe nazo kutokana na nafasi yake ya mweka hazina wa mfuko huo na walitoa Sh 445.000 kwa ajili ya kununulia vifaa vya shule ya msingi Endiamtu na fedha zilizobaki akawa anawazungusha wajumbe kuzitoa. kamanda wa polisi wa mkoa wa manyara, Parmena Sumary, alidhibitisha kukamwatwa kwa katibu huyo wa Chadema.
SOURCE: MWANANCHI MEI 26, 2011
Mwananchi tolea la leo 26, May 2011 link iko hapo chini, sioni hii habari ya ritz. labda kama kuna mtu mwenye hard copy atuangalizie.
Gazeti la habari za kiswahili la kila siku Tanzania, linaongoza
Dudu uchi na akili uchi in action.:mod:
Ninyi si mliachiwa nyumba bora na Julius Nyerere mbona mmeibomoa yote kwa kuiba pesa za wananchi na kulindana! Wananchi wa Simanjiro wanajua nini wanafanya watamchukulia hatua na ikithibitika atawajibika kama yeye na sio chama, CDM sio CCM inaotuma makada wake wakaibe BOT na inawalinda kwa nguvu zote!Nyumba bora inaanza na msingi imara kama mnaaza kutafuna michango ya wananchi saizi je mkichukuwa nchi itakuaje????