Kingunge akerwa, akemea yanayoendelea ndani ya CCM

Mungu ambariki Rais Kikwete asimamie haki na uadilifu, hili ni jambo jema ambalo Rais Kikwete atatutendea kama kwaheri ya uongozi wake, nchi kwenda mikononi mwa wezi ni jambo lisilokubalika.

Mungu ambariki Rais Kikwete na ampe ujasiri wa kusimamia lililo jema.

Wana CCM na Watanzania kwa ujumla tutamheshimu kwa kufanya hivyo.

haa haa kwani yeye aliingije madarakani mwaka 2005?
 
Huu ni mwaka wa mwisho kwa Kinje kupiga risasi ovyo sehemu za starehe
 
Nimemsikia Kingunge ITV anasema chaguo la watu ni EL na imejulikana hivyo kutokana na umati uliokuwa unamuunga mkono ktk kukusanya wadhamini.
Na kasema asipopita EL,basi chama ndio kimejizika

Kwa nini mnaibuka na vitu ambavyo havipo hajamtaja lowasa au una makengeza na masikio ya ziada? Ulifaulu kweli hata darasa la saba wewe maana unaibuka na mambo ambayo hayapo kabisa
 
CCM isipuuze maoni ya wananchi walio wengi, Hata Mwl. Nyerere aliwahi kuonya hili.
 
Viongozi wachache tuliowapa madaraka wasije wakajisahau na kusababisha chama chetu kushindwa uchaguzi kwa sababu ya chuki zao binafsi, Wananchi na wanachama walio wengi wasikilizwe wanamtaka nani, na sio viongozi ambao ni wachache!
 
Nape Nnauye tuambie tu Marehemu Chichiem anazikwa wapi?Pilau ,wali duh tusiukose jamani.Nasikia hata kile kiinua miguu pia mmekipiga kwanja inakuwaje?Na wale wajumbe wenu wa mjengoni nasikia wamegomea kuingia kwa mjengo

BVR inakuja Dar soon, hamasisha mtaani kwako watu wakajiandikishe.
 
LOL! Umeniwahi na comment yako ya ubwabwa, wacha tukae mkao wa kula tayari kwenda kuchangamkia ubwabwa mtaa wa Lumumba kuomboleza kifo cha marehemu CCM.

Wengine tunasubiria ubwabwa wa Marehemu CCM sijui utaliwa wapi?Yaani Kingunge angefanya haraka kuzika marehemu huyo.Lakini anasema ukweli Baba Mnec,Mama Mnec na watoto wanec kazi ipo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom