King'amuzi cha Star Times wajameni

manuu

JF-Expert Member
Apr 23, 2009
4,064
10,723
jamani nataka kununua king'amuzi cha star time,so kabla sijafanya maamuz ya kununua nikaona si mbaya kuwakilisha hapa ili kama kuna yeyote mwenye kujua historia ya hii kitu anijuze mazuri yake na mabaya yake pia.
nawakilisha.
 
channel zinaonekana clear, ila ni chache sana. Ukiweza funga na free to air receiver.
 
Mkuu Chalenje
Inategemea unakaa eneo gani Dar, signals zao sio straight forward kwa experience yangu. Mie nakaa Tegeta nilinunua nikapewa kile ki-antena cha ndani sikupata kitu ikabidi niende kununua antenna ile ya nje ndo mambo yakawa sawa. Lakini ata hivyo sound quality sio nzuri na baadhi ya channel hata picture resolution sio nzuri. Wana channel nyingi ambazo hazina msaada wowote ni kama kujaza phonebook na majina ya watu husiowajua! Nikiwalinganisha na Multi choice naona (MC) bado wapo juu sana kwa uwingi wa channel, sound and picture quality, kama una mfuko wa kutosha ni kheri ujiunge huko. Ni maoni yangu tu.
 
Nami naunga mkono mchangiaji aliepita hapo juu kama unamfuko kdg heri ununue dstv ina leta maana zaidi star times si mbaya inategemea wapenda nini....mimi naona kukosa mipira mingi ulaya yote tu ni kosa sana wana setanta pekeyake wanaonyesha scottish league tu bei ya kuunganisha dstv iko poa sana sasa 89,000 tu na unachagua package chini 15,000 juu kbs 117,000 nakushauri weka ya 72,000 na hiyo 89,000 uta enjoy sana
 
Mkuu Chalenje
Inategemea unakaa eneo gani Dar, signals zao sio straight forward kwa experience yangu. Mie nakaa Tegeta nilinunua nikapewa kile ki-antena cha ndani sikupata kitu ikabidi niende kununua antenna ile ya nje ndo mambo yakawa sawa. Lakini ata hivyo sound quality sio nzuri na baadhi ya channel hata picture resolution sio nzuri. Wana channel nyingi ambazo hazina msaada wowote ni kama kujaza phonebook na majina ya watu husiowajua! Nikiwalinganisha na Multi choice naona (MC) bado wapo juu sana kwa uwingi wa channel, sound and picture quality, kama una mfuko wa kutosha ni kheri ujiunge huko. Ni maoni yangu tu.

Linganisha na thamani ya hiyo MC na star times unapata nini?
 
Kuna jamaa anakufungia dish unanunua decoder usd 200 na unamlipa 250,000 per year unapata channels nyingi za maana unaona premier leage, la liga, bundasliga na movie mpya mpya.....
 
Kwa sasa wamezidiwa nguvu watu wamenunua sana wakati wa mwanzo ilikuwa poa ila sasa hakuna kitu channel zinagoma goma halafu si clear kwa kifupi HAKIFAI nunua tu DSTV yako ujikalie kwa raha zako
 
Kuna jamaa anakufungia dish unanunua decoder usd 200 na unamlipa 250,000 per year unapata channels nyingi za maana unaona premier leage, la liga, bundasliga na movie mpya mpya.....
tuelekezane mzee wapi naweza mpata huyu mchalii?
 
jamani nataka kununua king'amuzi cha star time,so kabla sijafanya maamuz ya kununua nikaona si mbaya kuwakilisha hapa ili kama kuna yeyote mwenye kujua historia ya hii kitu anijuze mazuri yake na mabaya yake pia.
nawakilisha.

Mkuu utapoteza hela yako bure. Nakushauri uende pale ATN ukanunue decoder yao ni nzuri nzuri sana. Ukiwanayo utaweza kutumia flash yako na pia utaweza kurecord chochote kutoka kwenye TV yako. Inaonesha karibu channel zote za ndani na nyingi sana za nje na movies za kinigeria. Pia utaweza kufaidi UEFA Champions League kwa raha kabisa kwani wao ndo waliopewa kibali cha kurusha hizo mechi kwa sasa.
 
Mie nipo mbeya nilienda kwenye ofc za dstv nikakutana na sister du flani kanizingua,anasema huduma zote ni mfumo wa dolar eti tz sh haitumiki,nisaidieni nifanye nini ndugu zangu,startimez wenyewe huku bado ATN ndo cjui kama huku wanapatikana,,
 
Mkuu mbeya ATN wanakuja na decoda zao soon. Pale mafiati wana kanisa lao waweza enda kuuliza. Nakuhakikishia decoda zao ni bomba ile mbaya kwani zimetengenezwa kwa technology ya mjerumani. Mi ninacho na nimeona vya star times ndo maana nakuambia uwe macho usipoteze hela yako.
 
Kuna jamaa anakufungia dish unanunua decoder usd 200 na unamlipa 250,000 per year unapata channels nyingi za maana unaona premier leage, la liga, bundasliga na movie mpya mpya.....

please shossi can u give us the contacts za huyo jamaa sound like a good deal
 
Mkuu mbeya ATN wanakuja na decoda zao soon. Pale mafiati wana kanisa lao waweza enda kuuliza. Nakuhakikishia decoda zao ni bomba ile mbaya kwani zimetengenezwa kwa technology ya mjerumani. Mi ninacho na nimeona vya star times ndo maana nakuambia uwe macho usipoteze hela yako.

nimekusoma mkubwa,kesho najisogeza eneo la tukio fasta,
 
Zinaongezeka weye!!!, hakuna lisilowezekana Bongo Mkuu unapata zaidi ukitaka wakuchakachulie!!
Inasemekana kuwa hadi za dstv wengine wanaziingiza kiujanja kwenye hicho king'amuzi cha startimes.
 
Thanx mkuu sasa hiyo free to air receiver ni product za star time pia?
Hapana hiyo free to air receiver ni ma-dish ya kawaida tu ambayo yana channel zaidi ya 45 na za kibongo zote zipo ni rahisi haifiki hata laki mbili na ukifunga umefunga hakuna malipo ya kila mwezi ila kama una mawe (pesa) ya kutosha funga DSTv ile ni funga kazi na pia ina rate tofauti tofauti kulingana na kipato chako siku ukiwa nazo unaweka Premium na ukifulia unaweza Family
 
Mkuu utapoteza hela yako bure. Nakushauri uende pale ATN ukanunue decoder yao ni nzuri nzuri sana. Ukiwanayo utaweza kutumia flash yako na pia utaweza kurecord chochote kutoka kwenye TV yako. Inaonesha karibu channel zote za ndani na nyingi sana za nje na movies za kinigeria. Pia utaweza kufaidi UEFA Champions League kwa raha kabisa kwani wao ndo waliopewa kibali cha kurusha hizo mechi kwa sasa.

Brother Paulo na mie natafuta sana king'amuzi cha ATN. Naomba unambie naweza kukipata wapi kama niko maeneo ya Mwenge manake nasikia ni hadi uende kule kanisani kwao jogoo
 
Mie nipo mbeya nilienda kwenye ofc za dstv nikakutana na sister du flani kanizingua,anasema huduma zote ni mfumo wa dolar eti tz sh haitumiki,nisaidieni nifanye nini ndugu zangu,startimez wenyewe huku bado ATN ndo cjui kama huku wanapatikana,,
mmmh toka nifunge DSTv zaidi ya miaka mitatu iliyopita sijawahi kulipishwa kwa dola ila uwa wanafanya conversion kwa tsh, mbona siku hizi Dstv inalipwa kwa simu tu na simu zote za bongo wanatumia tshs, hiyo habari yako ina walakini
 
Back
Top Bottom