Kingamuzi cha itv/star tv

Wikiliki

JF-Expert Member
Dec 20, 2010
528
139
Wana jf kuna wakati kuliwekwa habari hapa kuwa kingamuzi cha itv na star tv kitaanza kufanya kazi septemba. Kuna mwenye habari wamefikia wapi maana ninaona kimya kingi. Na kwa mtindo huu tutaweza kweli kuingia digital world desemba 31 au ni siasa tu.
 
Wana jf kuna wakati kuliwekwa habari hapa kuwa kingamuzi cha itv na star tv kitaanza kufanya kazi septemba. Kuna mwenye habari wamefikia wapi maana ninaona kimya kingi. Na kwa mtindo huu tutaweza kweli kuingia digital world desemba 31 au ni siasa tu.

Siyo lazima kwamba kila kituo cha Tv kiwe na king'amuzi chake but ni lazima kila kituo cha TV kiwe na Digital Transmission. Suala la King'amuzi ni biashara nyingine. Hata wewe kama unaweza, unaweza ukaifanya hiyo biashara, unakubaliana tu na TV stations. Masharti ni kuwa kwe yeyote anayeuza king'amuzi, basi ni sharti hicho king'amuzi kioneshe local channels zote. Kwa hiyo ITV, STV etc wanaweza wasiuze ving'amuzi, bali matangazo yao yakaonekana kupitia ving'amuzi vinavyouzwa na watu wengine. Suala la king'amuzi si suala la kila kituo kuwa na chakwake ili hicho kituo kionekane, nafikiri kama ni hivyo basi tutakuwa na rundo la ving'amuzi sebuleni. So hichohicho cha Startimes au ATN, ikifika January 1 kitaanza kuonesha STV, ITV,DTV,SIBUKA TV,C'TEN, ATN,EFATHA TV,CHADEMA TV, CCM TV,COUGH TV To mention but a few!!
 
hawa jamaa inaelekea ni wababaishaji au wantujua udhaifu wetu.
Fikiria tangia juzi wanatangaza kuwa ETV imepotea na wanafanya kila linalowezekana kuirudisha.
Sasa najiuliza kurudisha channel inaweza kuchukua zaidi ya su nne??
Si ni bora watueleze tu kuwa imewashinda kama ilivyoshindikana kwa UTV, KBC, ITV, STAR TV nk??
 
Ninaungana na mwenzangu aliye tangulia kwani kuna makampuni zaidi ya manne yasambazayo hivi ving'amuzi na huwezi kuona local stations za kitanzania ktk king'amuzi cha kampuni moja inakubidi ununue ving'amuzi vitatu kutokana na hali hii no budi serikali kupitia Tume ya mawasiliano Tanzania kiyadhibiti hay a makampuni wahakikishe kila kampuni linalotoa huduma ya kuuza ving'amuzi kwa watanzania zinaweka channels zote za ndani ili kuondoa adha kwa wananchi kununua ving'amuzi kwa wakati mmoja.
 
Back
Top Bottom