King of Kings Na Ziara Mjengoni

Mkuu Hii kitu umeiandika kwa tafsida zaidi. Naona imekaa kama mashairi ya fulani vile..
Najaribu kwenda mbele na kurejea lakini nashindwa kuipata uzuri..

Ameandika hivyo ili mods wasiifute.

Unajua tena mods wako mbele kwa mbele kuchafua JF ili habari za ufisadi wa ccm na Kikwete zisijadiliwe.

Mambo ya kwenda bungeni ndiyo hayo - wameshapewa chao kidogo na sasa hao wametulia tu.
 
Nilipoanza kusoma posts za Malaria Sugu na wengine wanao post kama yeye, nilishangaa kuwa je hawa watu hawaoni kweli hali ya nchi yetu na kule tunakoelekea? Je hawa watu wanaishi dunia ya wapi? Baadae nikatambua kuwa hawa wana lao jambo...wametumwa kuchanganya na kuvuruga mawazo ya jamii. Hata hivyo nimebaini kuwa hoja zao hazina ushawishi wala uzito wowote. Zimekuwa kama sahani ya santuri inayojirudia rudia. Hapo ndipo nikabaini udhaifu wao. Huwezi kukataa hoja kwamba nyumba yetu imejaa vinyesi, basi tuisafishe. Atakayekuja na kupinga hoja hiyo, ana walakini au ana lake jambo. Wale wanaokubaliana kuwa tusafushe nyumba yetu tuachane na vinyesi na harufu mbaya, tuwatose hawa ambao wanapinga kufanya hivyo. Hoja zao kila siku zinafichua udhaifu wa kile wanachokitetea na kuongezea nguvu wanaopenda mabadiliko. Acheni waandike tu.

Kweli mkuu,

Ndio maana mimi huwa siungi mkono hoja za wao kufungiwa. BTW - utamfungia vipi mod wa JF?

Wao waendelee tu kuandika utumbo wao, that's okay. Ambacho sio okay, ni kwa mods wa hii forum kuwa wanafiki na kufuta vitu ambavyo vinamwandika vibaya Kikwete kwa kisingizio kuwa vimemkosea heshima au kuwa vina uchochezi wa kidini.

Huu ndio upuuzi ambao mods wanaufanya hapa.

So far ni vizuri kina MS wakiendelea kuandika hayo, ila mods wa hii forum waache unafiki wao.
 
image001.gif@01CB3F97.F0880A10
 
ndio maan mkamleta dk slaa kwa njia ya kanisa kuja kuikoa, mmechelewa

Slaa aletwe mara ngapi? for the last five years amekuwa akiwapa hell. Ufisadi mlikuja nao moto moto wa EPA, Richmond, Kagoda, nk mlikomeshwa immediately.

Watanzania wengine tukahakikisha kuwa:

Mahakama ya kadhi, ilikufikilia mbali.

Kuislimisha Tanzania, kukabaki kuwa plan tu

Sasa kinachofuata, ni suala la uraia wa utata wa sponsor wenu - Rostam Azizi
 
hoja za udini tumezichoka jamani

Umezichoka wewe wakati uongozi mzima wa JF ukiongozwa na invisible mwenyewe unaupenda!

Wewe naona unataka kufungiwa tu sasa hivi. Mods wanapenda kinachoendelea hapa na ndio maana wanamtumia mod mwenzao Malaria Sugu kuendeleza ujahidina kwenye hii forum
 
Back
Top Bottom