King of Kings Na Ziara Mjengoni

Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Mar 8, 2010
7,269
675
SOte wanajamvi ndo Tutajenga Taifa Letu. Watu kupoteza CCM ya Janja ni hii. Tumain, malaria Sugu Na Jeykey akina na kujibizana wa muda wanapoteza Taifa wa Mstakabali kwa Hoja kutoa wanajamvi ya badala. Hawaguswi mana ndo Jamvi waongoza ndo watu hawa kwamba wamelalamika wengi Wanajamvi. Kabisakufutwa hama waonywe either watu hawa kuhusu wamelalamika WanaJF. Karanga, jeykey an Malaria Sugu na zinazoletwa msingi hazina hazina ambazo Hoja kuhusu wanalalamika wanaJamvi. Taifa wa mstakabali kuhusu yetu maoni kutoa tumekuja Hapa. Mjengoni juu wa uongozi za ziara ya sababu kwa ni sijui linachafuliwa Jamvi. Juu wa Wetu viongozi wa utendaji na wasiwasi na nimekuwa WanaJF

Tujenge Taifa letu Kwa kuleta Hoja Za Msingi
 
umeandika maneno mazito kwa usanii wa hali ya juu, na kimsingi umewaonya MS na wenzake kwa kuleta hoja mbovumbovu zisizo na mashiko ila hawafutwi hapa Jamvini any way mi binafsi nimekusoma.
 
Hawa watu wanaitaji kuonywa
 
Tatizo lenu, mnataka kila mtu alete hoja za kupinga serikali au kusifia CHADEMA tu. Ingekuwa hivyo basi hata nchi yetu hingekuwa na vyama vingi.

Mimi nimsomaji mzuri wa hoja mbalimbali humu na michango ya watu. Kama hoja zinye walakini sio hao uliyowaorodhesha wapo wengi na wewe https://www.jamiiforums.com/members/king-of-kings.html King of Kings ni mmoja wao. Bahati mbaya mods yuko bias

tunakufahamu ulichobadili ni jina tu, endelea no body cares neither considering your non sense ideas.
 
Nilipoanza kusoma posts za Malaria Sugu na wengine wanao post kama yeye, nilishangaa kuwa je hawa watu hawaoni kweli hali ya nchi yetu na kule tunakoelekea? Je hawa watu wanaishi dunia ya wapi? Baadae nikatambua kuwa hawa wana lao jambo...wametumwa kuchanganya na kuvuruga mawazo ya jamii. Hata hivyo nimebaini kuwa hoja zao hazina ushawishi wala uzito wowote. Zimekuwa kama sahani ya santuri inayojirudia rudia. Hapo ndipo nikabaini udhaifu wao. Huwezi kukataa hoja kwamba nyumba yetu imejaa vinyesi, basi tuisafishe. Atakayekuja na kupinga hoja hiyo, ana walakini au ana lake jambo. Wale wanaokubaliana kuwa tusafushe nyumba yetu tuachane na vinyesi na harufu mbaya, tuwatose hawa ambao wanapinga kufanya hivyo. Hoja zao kila siku zinafichua udhaifu wa kile wanachokitetea na kuongezea nguvu wanaopenda mabadiliko. Acheni waandike tu.
 
Ni kuachana nao..waache waendelee kuona kila kitu kwao ni safi...
 
....braza Kibus how have u been? tumekumiss sana kule kwetu kwa wanene......!:welcome:
 
SOte wanajamvi ndo Tutajenga Taifa Letu. Watu kupoteza CCM ya Janja ni hii. Tumain, malaria Sugu Na Jeykey akina na kujibizana wa muda wanapoteza Taifa wa Mstakabali kwa Hoja kutoa wanajamvi ya badala. Hawaguswi mana ndo Jamvi waongoza ndo watu hawa kwamba wamelalamika wengi Wanajamvi. Kabisakufutwa hama waonywe either watu hawa kuhusu wamelalamika WanaJF. Karanga, jeykey an Malaria Sugu na zinazoletwa msingi hazina hazina ambazo Hoja kuhusu wanalalamika wanaJamvi. Taifa wa mstakabali kuhusu yetu maoni kutoa tumekuja Hapa. Mjengoni juu wa uongozi za ziara ya sababu kwa ni sijui linachafuliwa Jamvi. Juu wa Wetu viongozi wa utendaji na wasiwasi na nimekuwa WanaJF

Tujenge Taifa letu Kwa kuleta Hoja Za Msingi

Hao ndio wanamiliki JF sasa hivi.

Kumbuka kuwa viongozi wa JF walikwenda bungeni hivi karibuni. Moja ya mashariti waliyopewa ni kuhakikisha kuwa hii nchi inagawanywa kwa misingi ya kidini ili kuhakikisha kuwa Kikwete anarudi ikulu kukamilisha kazi ya kuislimisha Tanzania.
 
Ndiyo mzee. Daima tutaisifu tu chadema, ndiyo mzee, atakaekuja na wazo mbadala atachambuliwa mpaka akome, ndiyo mzee. Kwa mtaji huu hata mimi naunga mkono kuwa wengi humu ni mavuvuzela ya chadema tu na wala si wanamageuzi kama wanavyojinasbisha.

Ikulu wanaenda wasafi tu (na si wale wenye hila na hiden ajenda kwa maslahi binafsi) Nasikitika kuwa mtu muhimu bungeni slaa hatakuwepo kwenye siasa hasa bugeni kwa miaka 5 kama ilivyokuwa kwa mbowe. Inauma.
 
hiden ajenda ya kusilimisha Tanzania? mmejulikana wajahidina na hasira zote hizi ni kwa sababu mipango yenu imeshindwa.

Who's lol now
 
SOte wanajamvi ndo Tutajenga Taifa Letu. Watu kupoteza CCM ya Janja ni hii. Tumain, malaria Sugu Na Jeykey akina na kujibizana wa muda wanapoteza Taifa wa Mstakabali kwa Hoja kutoa wanajamvi ya badala. Hawaguswi mana ndo Jamvi waongoza ndo watu hawa kwamba wamelalamika wengi Wanajamvi. Kabisakufutwa hama waonywe either watu hawa kuhusu wamelalamika WanaJF. Karanga, jeykey an Malaria Sugu na zinazoletwa msingi hazina hazina ambazo Hoja kuhusu wanalalamika wanaJamvi. Taifa wa mstakabali kuhusu yetu maoni kutoa tumekuja Hapa. Mjengoni juu wa uongozi za ziara ya sababu kwa ni sijui linachafuliwa Jamvi. Juu wa Wetu viongozi wa utendaji na wasiwasi na nimekuwa WanaJF

Tujenge Taifa letu Kwa kuleta Hoja Za Msingi

Mkuu Hii kitu umeiandika kwa tafsida zaidi. Naona imekaa kama mashairi ya fulani vile..
Najaribu kwenda mbele na kurejea lakini nashindwa kuipata uzuri..
 
nilipoanza kusoma posts za malaria sugu na wengine wanao post kama yeye, nilishangaa kuwa je hawa watu hawaoni kweli hali ya nchi yetu na kule tunakoelekea? Je hawa watu wanaishi dunia ya wapi? Baadae nikatambua kuwa hawa wana lao jambo...wametumwa kuchanganya na kuvuruga mawazo ya jamii. Hata hivyo nimebaini kuwa hoja zao hazina ushawishi wala uzito wowote. Zimekuwa kama sahani ya santuri inayojirudia rudia. Hapo ndipo nikabaini udhaifu wao. Huwezi kukataa hoja kwamba nyumba yetu imejaa vinyesi, basi tuisafishe. Atakayekuja na kupinga hoja hiyo, ana walakini au ana lake jambo. Wale wanaokubaliana kuwa tusafushe nyumba yetu tuachane na vinyesi na harufu mbaya, tuwatose hawa ambao wanapinga kufanya hivyo. Hoja zao kila siku zinafichua udhaifu wa kile wanachokitetea na kuongezea nguvu wanaopenda mabadiliko. Acheni waandike tu.

dr slaa for presidency
 
Back
Top Bottom