Kinara wa ufaulu Chuo Kikuu Dar es Salaam 2010

Congratulations sister. Wadau mnasema kadesa p'papers, mbona wengine wanadesa ila hawafiki hilo daraja. Ana uwezo, tumpe hongera zake ili na wengine wafuate huo mwenendo hasa Dada zetu. Heko SALOME,

Tena wakati mwingine mitihani ni open book kabisa lakini bado watu hawapati 100%? Kudesa na ku preidct yatakayotoka pia ni akili huoni desa za mchina zinavyotutoa huku dunia ya wavivu. Hongera Salome umetupa hadith/mfano ya kuwaeleza watoto wetu wakike wanaokimbia science subjects
 
You must be out of your holy mind to tell that.At least not the computer science I know..And you have the answer for yourself,could you explain why watanzania wanaogopa science? do you have an answer for that?Na wewe hapo juu kwenye red Ulinganifu ghani unaozungumzia,wa kabobo au logical argument?..What do you know of logical /mathematical argument?Or for you uchambuzi unaojua ugumu wake ni wa kina mwanakijiji?And you are talking of ulinganifu?..shyttt can't get a sense out of your analysis don't make sense at all...Let computer science be computer science usidanganye watu wasiojua au usione kuwa watu wa computer science hawana uwezo wa kuchangia upupu sana kama hizi basi ukaanza ku-mislead watu....You should compare economics and Law at least both of them are categorically social sciences but stop misleading.The girl deserve the credit.Kupata 4.7GPA Sio mchezo with computer science.I performed far away better than her in Form Four and six but she has battered me in college can't match her hussle...Give her some damn respect folks!

Nakuunga mkono kabisa; I dont know much on computer science lakini I did my last exam last year june na kwenye course ya programming tulikuwa tunatumia computer program tu kutengeneza models jamani acha kusikia (synatax zile za programming) niliomba miungu yote pamoja kuwa ilikua open book nikaambualia 10/20 tena kwa kufanyiwa rounding up ya figure which means mwl aliona kwasababu yangu ni application tu na haiharibu kitu katika program yangu basi anipe hiyo 50% niende zangu kumsalimia mume na watoto....I salute you lady wewe ni jimama...
 
Tena wakati mwingine mitihani ni open book kabisa lakini bado watu hawapati 100%? Kudesa na ku preidct yatakayotoka pia ni akili huoni desa za mchina zinavyotutoa huku dunia ya wavivu. Hongera Salome umetupa hadith/mfano ya kuwaeleza watoto wetu wakike wanaokimbia science subjects

Kweli Felister, open book exams were even harder (for most of us)kama hukusoma before au hujui kilichofundishwa huwezi andika kitu..Anastahili pongezi zake tu.
 
Sina hakika na chanzo cha habari yako, mimi ni moja ya wahitimu wa mwaka huu na aliyetangazwa mwanafunzi bora kwa maana ya GPA ni MARTIN CHEGELE. Huyu alikuwa Tanzania One form4 na mwaka 2007 alikuwa Tanzania one form 6. Labda kama huyo dada aliongoza kwa kozi yake na si chuo kizima mkuu.

Mkuu ulikuwepo katika graduation zote mbili? kwa sababu naona kama kunakuwa na makundi mawili hivi.
 
Computer science ni kati ya kozi rahisi sana kwani vitu vipo direct haviitaji uchambuzi sana wala ulinganifu kama masomo mengine mfano uchumi, sheria etc. Tatizo ni lile lile watanzania kuogopa Science. Pili ukiweza kusolve past papers (MADESA) za miaka 5 na kwa mfumo wetu wa semester lazima mitihani hutoka humo humo jinsi ilivyo. Hata hivyo kwa perfomance yake anastahili pongezi.
wewe unaweza kuwa mmoja wa wanaodhani kuwa comp. science ni Ms. Office, kuwasha na kuzima computer, troubleshooting na updating antivirus. Kuna kitu kinaitwa Computer Programming mwenye akili ndogo ndiye ataita rahisi. Imagine one of the linux distribution contains 283000000 source line of codes.
 
Jamani its so unfair watu tunakandia mafanikio ya watu kisa hawakuweza kufua dafu walipokuwa sekondari. Tunasahau kuwa conditions ni tofauti?
Salome alikuwa mwanafunzi bora wa kike mwaka huu wa masomo. Aliongoza kwa GPA ya 4.7. Japokuwa kulikuwepo na vijana wengine wa kiume 3 ambao nao walipata 4.7 katika the same degree programme. They all have done well.
Martine Chegere alikuwa mwanafunzi bora wa kiume kwa mwaka huu wa masomo. Alikuwa na GPA ya 4.8.
Muwe makini mnapotoa lawama na kashfa zisizo za msingi .
Tuzo za wanafunzi bora zinatolewa pande zote mbili, kwa mwanafunzi wa kike na wa kiume. Na siyo kwa mmoja tu.
Salome alipata coverage kubwa ukizingatia ni msichana na alifanya vizuri kwenye masomo ya sayansi.
Kwenda kwake sigara si kwa sababu amekimbia ualimu bali ni kwa kupenda aweze kupata exposure and experience ya kazi. Wala hajataamka kuwa hataki kujiendeleza.
Please stop bad mouthing others. Mpe mtu sifa panapo stahili. Hongera sana Salome na hongera sana Chegere.
 
SSalome, licha ya kusoma masomo magumu ya Sayansi ya Kompyuta, ameweka rekodi ya kuwa Mwanafunzi Bora wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kwa mwaka huu, kutokana na kufaulu kwa Daraja la Kwanza akipata pointi 4.7 kati ya 5 katika masomo.


Ni kweli anastahili pongezi kwa kufauru kwa kiwango kizuri cha daraja la kwanza, lakini SI KWELI KUWA compyuta sayansi ni miongoni mwa kozi ngumu saana hapa UDSM. Kwani kompyuta sayansi hutoa wanafunzi wa daraja la kwanza karibu kila mwaka, lakini huwezi ona kitu kama hicho kwa watu wanaosoma masomo ya hesabu, fizikia, chemia, biolojia nk. Ugumu wa Compyuta sayansi haulingani na hayo masomo mengine

Natofautiana na wewe bado computer science ni ngumu sema tuu watu wengi vichwa ndio wanapenda kusoma hiyo course ndio maana unaona wanafaulu kwa kiwango kikubwa. Kozi inayoaminika kuwa ngumu kabisa ni Medicine ikifuatiwa na vitu kama Aerospace Engineering wala sio sidhani kama hizo nyingine zinafua dafu kwa medicine.
 
Salome kiukweli anajiweza. Nakumbuka mwaka 2007 darasa lao la PCM walikuwa vichwa na walikuwa hawabahatishi pia alikuwepo Felix Byabato,uyu alifanya Computer engeneering udsm,na John Mukulu,uyu alienda Computer science udsm,yani pcm ile ilikuwa ya ukweli. Pia Loyola ilibahatika kuwa na mwaka wa ukweli yan role modal,mpaka leo 70%+ wanasoma Usa na India,wengne ifm,wengne udsm. Zaidi ya wanafunzi 120 kati ya 140+walienda elimu ya juu. Ni jambo zuri. HGE walikuepo Gilead Teri,uyu alienda Udom na aligombea uprezdaa udom ila akushinda kwa sasa ni mwenyekti wa Ccm bagamoyo,kuna Deus Rweyemamu,yuko India,mary nsema Uk,jeremia kilato,Karugaba uyu alijulikana kama prof.kwa arguments zake,kwa sasa ni mhasibu,terence India na wengi sana. Hawa wote wanaonesha matumaini kwa taifa letu.
 
tunampongeza...................aje mtaani tumuone kwa vitendo na si nadharia ya darasani
 
elimu ya darasani ni vitu viwili tofauti kwasababu mtu anaweza kusoma kilimo na akawa na bachelor ya kilimo bado ukamkuta akiwa mhasibu anahesabu pesa pale benk dirishani
tunampongeza...................aje mtaani tumuone kwa vitendo na si nadharia ya darasani
 
This guy is good.
Looks retarded,not so social but insanely intelligent.
But whether the source is true or not,Salome is definitely smart and driven...that GPA seem very much her.

Hongera Salome na hata huyo Chegere pia hongereni saaana.

Ila poleni sana maana kwa nchi za wenzetu mngeendelezwa vya kutosha kwa manufaa ya nchi husika. Hebu angalia Salome yupo sigara, anafanya nini pale?? just routine troubleshooting kwenye LAN or what?? Hon. Prof. Mbarawa the gal needs a very good scholarship to the best university anywhere in the world, mpatieni PliiiiiiiiiiiiiiiiiiZ!!! zamani zilikuwepo na najua bado zipo wanapelekwa watoto wa wakubwa vilaza ambao wakifika huko shule hawamalizi. Salome yupo Sigara my ass! we are wasting her time! and for that matter there is this what they call Institute of Education, hivi kazi yake ni nini if not kuendeleza watu wa aina ys Salome? can somebody tell me!
 
hivi kuna watu wanaolipa mkopo kweli bodi?
Ameangalia pakeji ya mshahara, ipi iko juu zaidi, kufundisha au kufanya kazi sigara!! Inaonekana sigara wanalipa zaidi, so amejoin nao ili aweze kulipa mkopo wa bodi ya mikopo.

 
Natofautiana na wewe bado computer science ni ngumu sema tuu watu wengi vichwa ndio wanapenda kusoma hiyo course ndio maana unaona wanafaulu kwa kiwango kikubwa. Kozi inayoaminika kuwa ngumu kabisa ni Medicine ikifuatiwa na vitu kama Aerospace Engineering wala sio sidhani kama hizo nyingine zinafua dafu kwa medicine
Unatumia kigezo gani kusema kwamba Medicine ni course ngumu kabisa kupita zote? Ugumu wa course ni kichwa chako mwenyewe. Hata course ya kiswahili ni ngumu pia. Hata hivyo, katika fani za engineering and Earth Science course ngumu ni "Space Geodesy" and "Satellite Altimetry" ikifuatiwa na "Electronics Engineering" na zingine zinafuata. Kumbuka ugumu wa course ni kichwa chako mwenyewe. Hao unaodhani wanasoma course ngumu ya Medicine, lakini wakienda Engineering hawawezi kitu. Kumbuka pia Prof. Mathew Luhanga mhandisi wa kuaminiwa ali-disco alipojaribu kusoma Law.
 
Sina uhakika/imani sana na calculation za GPA UDSM. Inawezekana ana 4.7 but hizo marks zake ukisipeleka chuo kingine ni 3.5...bu anyway kwa chuo chake hongera
 
hivi ni vyuo vyote duniani wanaweka GPA kwenye trascript maana huku Russia hawafanyi hivyo wanaweka matokeo tu
Sina uhakika/imani sana na calculation za GPA UDSM. Inawezekana ana 4.7 but hizo marks zake ukisipeleka chuo kingine ni 3.5...bu anyway kwa chuo chake hongera
 
Back
Top Bottom