Kinana kwenda Kenya katika kipindi hiki kina walakini!!

Pale yeye analeta report kuwa tusikubali techonolojia itumike maana ndio itakuwa mwisho wetu....hakuna kuchakachua!!!
 
huo ndio unaitwa unafiki kwake kunaungua anakimbilia kuzima moto kwa jiran..hopeles siner.
 
Katibu Mkuu wa CCM, Abraham Kinana, leo akiongea mbele ya Waandishi wa Habari wa vyombo mbalimbali, vya habari huko Nairobi nchini Kenya,alisema kwamba Mchakato wote wa Uchaguzi umeenda Vizuri,japo kuna Matatizo ya hapa na Pale! Kitu ambacho hakikosekani ktk Uchaguzi wowote! Na kwamba yeye akiwa kama Mwenyekiti wa Waangalizi kutoka Afrika Mashariki,wa Uchaguzi huo,wanardhika na jinsi uchaguzi huo ilivyoendeshwa.

Hata hivyo anaishauri Tume ya Uchaguzi ya Kenya kuendelea kutoa Somo la Uraia kwa wananchi wake ili kushiriki kwa wingi ktk upigaji wa kura.
Lakini pia Anaishauri Tume ya Uchaguzi ya Kenya Iwe inaandikisha Wapiga Kura kila mwaka!!
Source: TBC Taarifa ya Habari Usiku!

Kwa maneno mengine Kinana ana-confirm kuwa CCM na serikali yake wamefanya makusudi kutoandikisha wapiga kura kila mwaka - kwa sababu wana maslahi na number za kimagumashi?
 
Katibu Mkuu wa CCM, Abraham Kinana, leo akiongea mbele ya Waandishi wa Habari wa vyombo mbalimbali, vya habari huko Nairobi nchini Kenya,alisema kwamba Mchakato wote wa Uchaguzi umeenda Vizuri,japo kuna Matatizo ya hapa na Pale! Kitu ambacho hakikosekani ktk Uchaguzi wowote! Na kwamba yeye akiwa kama Mwenyekiti wa Waangalizi kutoka Afrika Mashariki,wa Uchaguzi huo,wanardhika na jinsi uchaguzi huo ilivyoendeshwa.

Hata hivyo anaishauri Tume ya Uchaguzi ya Kenya kuendelea kutoa Somo la Uraia kwa wananchi wake ili kushiriki kwa wingi ktk upigaji wa kura.
Lakini pia Anaishauri Tume ya Uchaguzi ya Kenya Iwe inaandikisha Wapiga Kura kila mwaka!!
Source: TBC Taarifa ya Habari Usiku!

NB:
Je Kinana haoni kwamba kuna umuhimu wa Yeye Badala ya kuishauri Tume ya Taifa ya Uchaguzi ya Kenya, angeishauri Tume ya Taifa ya Uchaguzi ya Tanzania kutoa somo la uraia kwa Watanzania kushiriki kwa wingi ktk upigaji kura pamoja na kuandikisha Wapiga kura kila Mwaka ili kuwapa nafasi Vijana kujiandikisha?

KINANA Anaonaje"KIBANZI"kwenye jicho la mwenzake ingali hajatoa Boriti Jichoni mwake?

nadhani wamewai sana kutoa maoni yao. Matatizo ya chaguzi za Afrika utokea kwenye kutangaza matokeo. Jhata uchaguzi uliopita wa Kenya ambao ilikata tafrani, ilikuwa ni wakati wa kutangaza matokeo. Sasa wataamuaje kuwa huru na haki wakati haujafika mwisho na hasa haujavuka katika kipengele ambacho ni muhimu na nyeti!
 
Anawezaje kushauri tume ya (nec) kuandikisha wapigara kura wakati kura hizo anazipigia hesabu ya kuziiba? wanafiki hao
 
Safari ya Abdallaman Kinana kwenda Kenya katika kipindi hiki cha uchaguzi kinatia wasiwasi kwa watanzania hasa ukizingatia CHADEMA wametoa support kubwa kwa Odinga, Na niwazi CCM wapo kwa kumsupport Uhuru Kinyatta.

Lakini uswahiba huo ulimetiwa doa na Waziri wa Ujenzi John Magufuri kuwa karibu na Laila Odinga,na alivyokuja katika ziara ya binafsi huku Tanzania walikuwa karibu sana hadi kwenda wote Zanzibar na kitendo hicho hakikuwafurahisha vigogo wa CCM!!Lakini wakasahau kuwa hawa watu wamesoma wote!

Kwa hiyo kitendo cha Kinana kuwa kwenye pirika za uchaguzi za Kenya zinaweza kuleta madhara makubwa kwa Tanzania hasa kwa kipindi cha uchaguzi ujao wa 2015.Naomba hilo liwe angalizo.

pamoja na majibu waliyokupa wadau, nathubutu kusema kuwa wewe ni mpumbavu. kwa nini tunajadili uchaguzi wa wakenye kwa biasness? sisi sio wakenya, tuache kusapoti upande wowote na tuheshimu maamuzi ya wakenya. yoyote watakaemchagua sisi kama waTz tutamuunga mkono kama rais wa majirani zetu. nashangaa nyie wapumbavu mnaendeleza huu ujinga wakuchagua upande. pamoja na uswahiba mkubwa wa marekani na uk au israel, umewahi kuona yeyote katika nchi hizo akishabikia kiupande? kwa nini usifikirie hata hiki kitu kidogo tu. ama kweli JF kuna mataahira wengi na wewe ukiwemo.
 
Kinana kama mwenyekiti wa waangalizi wa Africa mashariki amechaguliwa na nani?

Pamoja na kuwa na katibu mkuu wa CCM ana cheo gani kingine cha kumfanya achaguliwa kuwa mwangalizi
wa uchaguzi kenya?
 
Kinana ni mwizi wa PEMBE ZA NDOVU

na wewe ni mwizi wa ukweli, huna lolote, mwizi wa pembe ni wewe na vizazi vyako, ndio mnaobebeshwa pembe na wabulishi na waarabu. kinana hamumwezi , kwa hivyo mumebaki vizingizio. kaangalie mipaka ya kenya upande wa kilimanjaro uone hiyo magendo ya pembe na vinginevyo vinavyo pitishwa.
 
Jana Kinana amehojiwa..na wana habari waliopo Kenya....amesikitisha sana kukimbilia Kusema .."uchaguzi huu ni huru na wa haki ...na tunaenda kuandika ripoti mzuri kwa secretaries ya Afrika Masariki"......hii ni Aibu kubwa kukimbilia Kuongea haya wakati mamilioni ya wakenya bado wamejifungia ndani...na kukiwa na hofu kubwa ya uchakachuaji wa Kura zinazotumwa kupitia Safari con toka vituoni kwenda IEBC......
Hii imepelekea kusitishwa kwa zoezi la kuhesabu Kura ki electronic...na sasa wanarudia kwa mkono ........na kwa Mara ya kwanza Kura zinafungana..au Raila kuwa mbele...jambo ambalo kabla halikuwapo na toka wakinza Juzi Raila alikuwa anakuwa nyuma kwa Kura 400,000 hadi 600,000......Nina wasi wasi kwa kuhesabu kwa mkono mshindi atakayepatikana awe Raila au Uhuru Watu wataridhika....
Ni wazi kitendo cha Kinana kinatutia Aibu ...
 
na wewe ni mwizi wa ukweli, huna lolote, mwizi wa pembe ni wewe na vizazi vyako, ndio mnaobebeshwa pembe na wabulishi na waarabu. kinana hamumwezi , kwa hivyo mumebaki vizingizio. kaangalie mipaka ya kenya upande wa kilimanjaro uone hiyo magendo ya pembe na vinginevyo vinavyo pitishwa.

Kama Kinana mwenyewe amekiri kuwa meli zake ndio zilisafirisha pembe za ndovu, halafu wewe mpuuzi mmoja, tena ukute ni maskini tu, unaanza kumtetea kuwa sio mwizi just because ni katibu mkuu wa chama chenu cha majambazi. Hauna huruma na dwindling elephant population unachowaza ni kujipendekeza tu kwa MaCCM menzio na kuukana ukweli ulio wazi kuwa KInana ndio PUBLIC/ ELEPHANT ENEMY number one. Hizi mali asili ni za watanzania wote, kwa nini Kinana na wasomali wenzie majangili wanufaike peke yao kama sio ubinafsi. Ngoja CCM tuing'oe 2015 ataiona jeuri wa watanzania...
 
Back
Top Bottom