Kinadada na zawadi za ma apple na maua

mi bado mshamba sana, chochote nitakacholetewa yawe maua au apple havina uhusiano kabisa na mapenzi!
 
Kama we mshamba basi ndo mi nawapenda....ntakuletea zawadi ya mtetea na jogoo kwenye tenga!
 
zawadi ni zawadi cha msingi awe kaileta kwa kusukumwa na mapenzi yake kwangu hayo mengine ni kucomplicate mambo tu.
 
Kama we mshamba basi ndo mi nawapenda....ntakuletea zawadi ya mtetea na jogoo kwenye tenga!

apo mnafaidi wote kwa mara moja manake itapikwa bonge la biriani hapo hommie...so unakuwa hujapoteza kiviiiile

Lakini huyu Rose80 kanikuna kwa mchango wake...kwamba saa nyingine hakuna correlation ya moja kwa moja kati ya zawadi na uzito wa mapenzi..wengine wanafanya kuiga tu na kulingana na makuzi

Zawadi pekee ya kumpa mpenzi wako ni mapenzi ya dhati...mpe mpenzi wako moyo wako....ndo zawadi ya muhimu kabisa yenyewe
 
Hapo hommie ungemalizia na baioloji yako yote!

Mimi bwana zawadi ya pekee na muhimu sana nayoitaka toka kwa mpenzi wangu ni baiolojia yake! Hayo maua peleka huko bustanini, makadi yaache huko steshenare, manguo yaache huko madukani.....we njoo kama ulivyo na baioloji yako unipe zawadi yangu niitumie nitakavyo!
 
Hommie hapo uko serious ama maomboi ya Smiles na queenkami yamekukubali? umpe baiolojia yote?:A S 13::A S 13::hand:
 
Mnaniua mie na cheko,lol. binamu we bailogia tu inatosha. kazi kwelikweli.
 
Hommie hapo uko serious ama maomboi ya Smiles na queenkami yamekukubali? umpe baiolojia yote?:A S 13::A S 13::hand:

Ewaa akae nayo mpaka atosheke. BTW umenionea Queenkami? Ukimwona mwambie anachonifanyia si kizuri eti!
 
Hapo hommie ungemalizia na baioloji yako yote!

Mimi bwana zawadi ya pekee na muhimu sana nayoitaka toka kwa mpenzi wangu ni baiolojia yake! Hayo maua peleka huko bustanini, makadi yaache huko steshenare, manguo yaache huko madukani.....we njoo kama ulivyo na baioloji yako unipe zawadi yangu niitumie nitakavyo!

mpwa UMENIMALIZA...
 
Kudadadadadadeki.
Ya ukweli sana hii.
hapo hommie ungemalizia na baioloji yako yote!

Back
Top Bottom