Kinadada na zawadi za ma apple na maua

mambo vipi Rose???kipi unachopendelea wewe kama zawadi, naona maua umeyapa kisogo!nambie ili nijiandae.............!!!!!!!!!!ahaa,....ahaaaaa....ahaaaa, hujambo lakini?
...kuna ninachokiopenda bt si maua na kadi....................KUNA KIMOJA IVI....skwambiii lakn....!!
 
NIKIWAGA NIMEMPIGA KOSA LA MAANA HAYO NDO MAHITAJI:
MAKANGE= 12,000
WINE 2*10000=20,000
MAJI MAKUBWA=1500
KOROSHO=5000
TOTAL =38,500

MATUMIZI:
Namfata kwake tunaweka mziki wa romantic kwa mbali huku mtoto anashusha wine na makange ,mimi napata wine kwa kuibia na korosho (zinaamsha dude) tunafanya honest talk ikiwemo kuongea ukweli na way forward .tunapata maji kisha tunaoga wote ,tuna liamsha dude then mwenzenu huwa nanusurika kupangiwa kazi nyingine.
i love you mmakonde wangu
 
Back
Top Bottom