Kina Mama, Mmeajiri hausi geli au mke mbadala?

Duh hapa kanena ukweli mtupu ila inapotokea wife kawahi kutoka kaniacha nimelala then anakuja house girl asubuh saa 12 na kanga 1 ya india kufanya usafi hafanyiwi kosa maana muda huo inakuwa na nguvu sana isitoshe tunakuwa hatuna akili vzuri tunaishia kupeana tamu!

hukupaswa kuoa kama unashindwa vishawishi,i bet hata huko mitaani ni fagia fagia,kuna wahudumu wa baa mama ntilie wote hao wanaserve ili siku yako iende vizuri,je wote hao unawatamani na kuwapitia? utaleta ukimwi nyumbani.
 
mie nashangaa kwa nini housegirl akilemewa na majukumu ya kazi lawama zinatupiwa kwa mama tu???wababa hawahusiki katika kusaidia kupika,kuosha vyombo etc???? sio lazima housegirl asaidiwe na mama tu hata baba anaweza kusaidia akiona kazi ni nyingi........
halafu mpk utembee na mtu,ni awe amekuvutia kiumbo nk,sioni HOW mtu anavyofanya kazi za nyumbani zaidi ndio wewe unahamasika kutenda naye ngono?! utakuwa na matatizo ya akili......
by the way yeyote anayetembea na housegirl haheshimu hio institution ya ndoa...and he didnt deserve to get married in the first place!!!!:A S 13::A S 13:

we saaly we, kuna ma hausi geli wengine bomba kuliko mama mwenye nyumba. halafu unajua sasa hili tatizo letu wanaume kupenda kuhudumiwa na kama alivyodadavua mwandishi wa hii makala, humo ndimo kwenye chachandu yenyewe.

Kama wanavyoshauri wachangiaji, it is time wanaume sasa tuachane na huu ufalme, angalau kama siyo sisi basi tuwafundishe watoto wetu wa kiume kuwa responsible. Dunia imebadilika. Tunaona kila anayetafuta mchumba/mke hapa anataka mwenye elimu na ajira. Hakuna anayesema anataka hausi geli mwenye uzoefu wa kufanya kazi za nyumbani kwa miaka kadhaa!

Ni kweli kwamba mwanaume akiwa bize physically na mentaly hilo dude halitajisikia "kuchomachoma kila saa"
 
Du, Saaly, hiyo avator yako tena vipi hasa hicho unachokinyonya
 
ndio maana nikasema azma nzima ya kuoa ni kujikaza kiume na kutofuata vishawishi,ukisema mwanamke bomba am sure utaendelea kuona wengi tu barabarani sio huyo housegirl peke yake wala mkeo,sasa kama wewe ni funua funua kila mwanamke bomba unamtamani then USIOE baki hivyo hivyo mseja uinjoy maisha vizuri.....
na hilo la kuhudumiwa mbona sio nyumbani tu,kuna kny mabaa,mama ntilie,mhudumu wa benki wote ni watoa huduma,utalala na kila mmoja??? the bottom line is,kama unaona wewe huwezi bado kuepuka vishawishi then USIOE msituletee magonjwa nyumbani kwa udhaifu wenu...:A S 13:
 
Nyie wenye kuja kuona hausgeli bomba kuliko mke..mnaumwa! Kuna mwanamke mbaya dunia hii kama una pesa? Tumia pesa mfanye mkeo bomba! Mnakwepa magolikipa wanaokaa nyumbani, mnataka kuoa wasomi wenye kazi na kipato.... wapi na wapi?
Nende mkachukue wake huko vijijini ambako mahausgeli wanatoka.Kwani mnadhani mngewaoa wangefuata nini mijini kudhakilishwa kwa kazi ngumu na wake zenu?
 
Ohooo, ni wiki iliyopita tu wadada hapa walikiri kwamba nao wanapata viishawishi vya kutamani wanaume wengine wakati tayari wanao wa kudumu, kwa hiyo wanawake nao wasiolewe
 
basi hii mada yako usingetutupia lawama wanawake tu,kama udhaifu pande zote mbili upo...:mullet::A S 13:
 
Nyie wenye kuja kuona hausgeli bomba kuliko mke..mnaumwa! Kuna mwanamke mbaya dunia hii kama una pesa? Tumia pesa mfanye mkeo bomba! Mnakwepa magolikipa wanaokaa nyumbani, mnataka kuoa wasomi wenye kazi na kipato.... wapi na wapi?
Nende mkachukue wake huko vijijini ambako mahausgeli wanatoka.Kwani mnadhani mngewaoa wangefuata nini mijini kudhakilishwa kwa kazi ngumu na wake zenu?

Tausi, that was exactly my point kwamba tunataka responsible wife economically lakini bado tumeng'ang'ania lifestyle za kale. Kwa hiyo we are living in two contradictory timeframes, ya sasa ambayo tunajua hatuwezi kumudu kuhudumia familia hivyo tunataka mwanamke naye achangie, lakini ya kale ambayo mwanamke alikuwa ni housewife hivyo anafanya kazi zote za ndani ikiwa ni pamoja na kumhudumia mume kama mfalme. Ndo nikashauri tuanze kufundisha watoto wetu wa kiume kuwa responsible for house chores
 
basi hii mada yako usingetutupia lawama wanawake tu,kama udhaifu pande zote mbili upo...:mullet::A S 13:

Du, Saaly bana. Mada siyo yangu, nimetoa source na mimi nimeona niwashirikishe mawazo ya mwandishi ili tujadili kwa sababu ilinivutia na haina maana ninakubaliana naye kwenye kila kitu. Tujadili mama, tusinyoosheane vidole. Haya mambo tunaishi nayo katika familia zetu.
 
Umalaya na tamaa tu ndo zimewazidi wanaume, mtajiju.... hamuoni aibu kutembea na low class like house gilrs? hawajui hat kiswahili vizuri, hata kusafisha nanihii tu nitatizo. Mmezidi na nyie, chukueni tu kwani nini? vinawaisha? mbona vinabaki, mkiweza waoeni tuu.
 
Remmy umetumbua jipu haki ya nani!
Mi nashangaa sana..kila kitu mwanamke anatupiwa lawama. Mwanamke anatakiwa akimbie maili ya ziada kumtumikia mwanaume kwa kila kitu kuanzia jikoni, sebuleni, bafuni hadi chumbani! Mi nataka sana kumfanyia mwanaume wangu yote haya..lakini pale tu na yeye atakapokuwa tayari kunifanyia hivyo hivyo. Kitu hawajui mateso wanayotupa wasifikiri hakuna anayetuonea huruma na kutupa ahueni kama na wao wanavyopata! Tena basi watashangaa maana tuna uwezo wa kufanya maajabu zaidi ya wajuavyo!LAITI WANGELIJUA..WANGACHA MARA MOJA UNYANYASAJI NA UDHALILISHAJI HUU WA KIJINGA.NDIO MAANA NOT ENOUGH KAWATUNGIA THREAD KIBOKO LEO INAWALA VICHWA HAWAPATI KUSEMA....
 
Mbona kama hii mada inachangiwa zaidi na wadada tu? Ina maana wanaume wanaona aibu au?
 
Na aliyekwambia kutandika kitanda ni jukumu la mke tu ni nani? wewe umeamka wa mwisho kwa nini usitandike kitanda, umeoga wa mwisho kwa nini usikaushe maji bafuni? wenzetu nchi za magharibi wameweza kukaa bila mahg sababu wanasaidiana majukumu ya kazi za ndani na waume zao sio hapa baba kakaa sebuleni anasubiri kila kitu hata ukitenga chakula bila pilipili atakusimamisha ukalete kwenye fridge na hapo umefanya kazi zote na ukizingatia mmerudi wote kutoka kazini. mnafikiri sie marobot? halafu hapo bado umefika kitandani umechoka anaanza kukuchomachoma na dudu lake eti limesimama

tatizo wanataka usawa hata ambapo hapaitaj usawa na mtakoma tutawala hao mahaous girl had mtakapojirekebisha
 
mie nashangaa kwa nini housegirl akilemewa na majukumu ya kazi lawama zinatupiwa kwa mama tu???wababa hawahusiki katika kusaidia kupika,kuosha vyombo etc???? sio lazima housegirl asaidiwe na mama tu hata baba anaweza kusaidia akiona kazi ni nyingi........
halafu mpk utembee na mtu,ni awe amekuvutia kiumbo nk,sioni HOW mtu anavyofanya kazi za nyumbani zaidi ndio wewe unahamasika kutenda naye ngono?! utakuwa na matatizo ya akili......
by the way yeyote anayetembea na housegirl haheshimu hio institution ya ndoa...and he didnt deserve to get married in the first place!!!!:A S 13::A S 13:

Avatar yako aaaa
 
tatizo wanataka usawa hata ambapo hapaitaj usawa na mtakoma tutawala hao mahaous girl had mtakapojirekebisha

Mimi nilifikiri wa kujirekebisha ni wanaume bana. Ukifuatia hoja kadhaa hapa jukwaani ni dhahiri tatizo lipo kwetu unless mtu unataka tu kuwa cheuvinist
 
Umalaya na tamaa tu ndo zimewazidi wanaume, mtajiju.... hamuoni aibu kutembea na low class like house gilrs? hawajui hat kiswahili vizuri, hata kusafisha nanihii tu nitatizo. Mmezidi na nyie, chukueni tu kwani nini? vinawaisha? mbona vinabaki, mkiweza waoeni tuu.

Kusafisha nini Remmy?
 
.... hamuoni aibu kutembea na low class like house gilrs? hawajui hat kiswahili vizuri, hata kusafisha nanihii tu nitatizo..

Haifai kuita wenzenu low class, kwani ukiangalia hata hao mababu na bibi zenu walitokea huko huko.
 
Ni kuwa wanawake wengi wanajishau tu,sababu hata kama unafanya kazi sio kisingizio kwani kuna wikend ambayo anaweza kuwa na familia yake,na pia kuna vitu na vitu vya kumwachia housegal afanye na vingine havifai kwani wewe mwanamke ulipokuwa unaolewa ulijua hivyo lakini ukifika tu ndani unasahau ghafla au nini!!!
 
Back
Top Bottom