rakeyescarl
JF-Expert Member
- Dec 9, 2007
- 481
- 145
Natanguliza shukurani dada zangu,
Hivi kwanini kina dada hujipamba hata kama ni mzuri wa kuzaliwa?
I mean wenye nyele nzuri wanzitoa na kuweka mawigi ,weusi wanajipaka madawa kuwa weupe,gharama kibao za saloon,manguo ya bei mbaya kila kitu kina aim kwenye gharama kubwa za kujipamba na kuvutia wanume hata kama mtu kishaolewa lakini bado anataka awakoge na kuwavutia wanaume wengien(hata kama mumewe hapendi) ili hali akijua hawezi kuwapa wakiomba au kuwapata-naomba msaada?