Kina dada wa kitanzania

rakeyescarl

JF-Expert Member
Dec 9, 2007
481
145
Natanguliza shukurani dada zangu,
Hivi kwanini kina dada hujipamba hata kama ni mzuri wa kuzaliwa?
I mean wenye nyele nzuri wanzitoa na kuweka mawigi ,weusi wanajipaka madawa kuwa weupe,gharama kibao za saloon,manguo ya bei mbaya kila kitu kina aim kwenye gharama kubwa za kujipamba na kuvutia wanume hata kama mtu kishaolewa lakini bado anataka awakoge na kuwavutia wanaume wengien(hata kama mumewe hapendi) ili hali akijua hawezi kuwapa wakiomba au kuwapata-naomba msaada?
 
duh hili nalo neno wangu, hebu tungoje lizzy,Ashadii,afro D,preta na wengine watupe ukweli mana kama dada kashaolewa anajipodoa amvutie nani?na mara nyingi hujipiga sop sop wanapoenda out na utakuta hata mume anaweza akawa yupo tu home,kazin,nk
 
Natanguliza shukurani dada zangu,Hivi kwanini kina dada hujipamba hata kama ni mzuri wa kuzaliwa?I mean wenye nyele nzuri wanzitoa na kuweka mawigi ,weusi wanajipaka madawa kuwa weupe,gharama kibao za saloon,manguo ya bei mbaya kila kitu kina aim kwenye gharama kubwa za kujipamba na kuvutia wanume hata kama mtu kishaolewa lakini bado anataka awakoge na kuwavutia wanaume wengien(hata kama mumewe hapendi) ili hali akijua hawezi kuwapa wakiomba au kuwapata-naomba msaada?
Hello!! Get new issue,acha mambo haya. Nimepita tu!
 
duh hili nalo neno wangu, hebu tungoje lizzy,Ashadii,afro D,preta na wengine watupe ukweli mana kama dada kashaolewa anajipodoa amvutie nani?na mara nyingi hujipiga sop sop wanapoenda out na utakuta hata mume anaweza akawa yupo tu home,kazin,nk

Akuvutie wewe mumewe!

Akijiachia mnasema wanawake wanajisahau sana baada ya kuolewa.Lipi jema?
 
WOS ckatai bt mbna smtym mume anakua hayupo then mdada unajipodoa unaenda zako kwenye mitoko, je huko unaenda kumvutia nani?
Heeee kwani kujipodoa nako inakuwa kosa?hebu tuacheni bana haya ni manyanyaso sasa
 
WOS ckatai bt mbna smtym mume anakua hayupo then mdada unajipodoa unaenda zako kwenye mitoko, je huko unaenda kumvutia nani?

Mkuu
Kujipodoa au kujiachia ni hulka ya mtu. Na kujipodoa hufanyi kwa ajili ya mtu including hata huyo mume.Mwanamke anajipodoa na kupendeza kwa ajili yake yeye mwenyewe. Siyo lazima ajipambe kwa vile mumewe yuko naye tu.Hata akiwa mwenyewe utanashati atauendeleza tu.
 
Asante Mh.WomanOfSubstance,
Hapo nimekuelewa nilihisi hivyo lakini nashukuru nimeliskia from the horses mouth-niliishanaza kuwa na wasi wasi kama wa ndg yangu peaceficky.
Maana kama siku siko naye na ndio anakwenda kwenye party z kazini kwao alivyojpamba vimni perfume anakuja nazo mpya utafikiri tunaona tena,halafu hata card siionyeshwi naanza kupata pressure kwa kupata pressure anarudi saa ngapina simu anaicha eti atakuwa kwenye happy hrs hataki incovenience za ma simu.
Nashukuru kuniteremshia pressure bila malipo.
Sikuona sehemu ya Thx-lkn naomba ipokee hii ya manual -:A S-rose:!

Mkuu
Kujipodoa au kujiachia ni hulka ya mtu. Na kujipodoa hufanyi kwa ajili ya mtu including hata huyo mume.Mwanamke anajipodoa na kupendeza kwa ajili yake yeye mwenyewe. Siyo lazima ajipambe kwa vile mumewe yuko naye tu.Hata akiwa mwenyewe utanashati atauendeleza tu.
 
Hata mie nawatetea kwa kweli

Sasa wewe ukiwa na mke akapendeza akavutia utafikiri anataka kuvutia wanaume wengine nje au anapendeza nawe ufurehie?

Je utapenda kutembea na gf au mke aliyejiachia kuonekana choka mbaya?

Mie nahisi wewe unatamani sana wanawake ovyo haswa wake za watu

Acha sio tabia nzuri
 
Kupambwa kwa mwanamke humpatia heshima mumewe. Kujipamba kwa binti huwapatia nduguze heshima. Lakini kujipodoa, nadhani ni hulka kama walivyosema wengine. Kuna wanajipodoa/jikwatua -kana kwamba wanampania mtu na matokeo yake hubadilika sura na kuwa kama nini sijui. Lakini mtu akijipamba hata kama mumewe hayupo haina maana anatafuta kidumu, bali ni kwamba anajijali. Sishabikii mwanamke aliyeolewa kukaa hovyo (bila kujijali). Suala la kutojijali nadhani pia husababishwa na shughuli hasa baada ya kujifungua na kuwa na familia, au wengine ni kujisahau! Huona vema kupendeza wakati wanatafutwa na wakati wa uchumba kisha hujisahau na kusema 'nimeshapata kwa nini kujisumbua?'
 
Watu hujipambi kwa makusudi ya kupata mchumba tu. Kila mtu ana pride yake, kwa hiyo kila mtu anapenda kupewa attention na kusifiwa kwa ajili ya sifa anazo, iwe akili yake au uzuri wake. Ndio maana utaona wanawake na wanaume wanopendeza na kujaribu kuvutia the opposite sex ingawa wameshaoa/olewa. They don't necessarily want to start an adulterous relationship with the people they attract - they just like knowing that they can attract.
 
.........we mtoa hii topic usinichekeshe mie, eti hata waliolewa wanajipamba.......sasa ulitaka tubweteke???

Mie kujipamba kwangu si kwa ajili ya kumvutia mtu/mume.......ila huwa napenda tu kujipamba toka nilivyokuwa mdogo, nadhani ndivyo nilivyozaliwa. Hivyo usifikiri wote wanaojipamba ni kwa ajili ya mume/mwanaume.
 
Mwanamke pambo ndani ya nyumba,mumeo akija au mpenzi wako lazima uwemsafi unanukia na umevaa vizuri unavutia,anapopendeza mwanamke hana nia yakumvutia mwanamme mwengine au wanaume wakware.
 
R.I.P Mwanamke mchafu, sitaki nigongane nae. Sio wa kujibadilisha 7bu huyo nae mi namchukulia kama ugly.
 
Na nyie hamna jema, wanawake tukijipamba mnasema, tukiwa wachafu mnasema. Ni sawa hata kama ameolewa aendelee kuwa smart.
 
Kujiremba na kujipodoa ni jadi/nature ya mwanamke enzi na enzi, inavuka mipaka ya nchi, dini na kabila. Mahala pote wanawake wanajipodoa na kujiremba, ni nature yao. Waacheni watimize utashi wao waliojaliwa na muumbaji bila kujali ati wako single au wameolewa, hata mabibi vikongwe waacheni wajipambe na kujipodoa kwa raha zao. Hata mimi leo nitajipodoa na kujiremba tayari kwa kutoka weekend hapo jioni. Hivi hamkumuona Bibi Mkubwa Queen Elizabeth alivyokuwa amejipodoa na kujipamba at age 80+ wakati wa kumpokea Mr and Mrs President Obama?.
 
Natanguliza shukurani dada zangu,
Hivi kwanini kina dada hujipamba hata kama ni mzuri wa kuzaliwa?
I mean wenye nyele nzuri wanzitoa na kuweka mawigi ,weusi wanajipaka madawa kuwa weupe,gharama kibao za saloon,manguo ya bei mbaya kila kitu kina aim kwenye gharama kubwa za kujipamba na kuvutia wanume hata kama mtu kishaolewa lakini bado anataka awakoge na kuwavutia wanaume wengien(hata kama mumewe hapendi) ili hali akijua hawezi kuwapa wakiomba au kuwapata-naomba msaada?
Tatizo mnalipua mada..yeye mkubwa point yake ulikuwa ni namna mnavyojipodoa..kama kuvaa mawigi,kujichubua, kubandika makucha n.k..nadhani hajasema mtu awe mchafu..do you mean kinyume cha kujipodoa ni kuwa mchafu.???..acheni kuiga uzungu..black is beauty...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom