Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 34,732
- 41,032
Namshukuru Mungu kwa kuiona siku nyingine tena nikiwa mwenye afya njema..ila hili nililoliona leo asubuhi limenifanya kujadili njia nzia nikiwa naelekea kwenye mishe zangu..sijui ni ukali wa maisha?? ama fasheni?? lakini kwa hili its too much..napitia kwenye ka mgahawa kupata kifungua kinywa..nakutana na binti mrembo kavalia vazi lake murua la kanga nyepesi..limempendeza kweli lakini kasoro moja kubwa..sehemu ya mapaja yooote ipo wazi..yaani unaona kila kitu unachohitaji kuona...halafu kaweka pozi mahali ambapo kila anaeingia anamuona..kumbuka si saa nane usiku wala si eneo la club?? hapana ni saa moja asubuhi na ni mgahawa mahali pa heshima..tuseme biashara matangazo..fasheni?? ama maisha magumu mpaka imefikia hatua ya kuifanyia miili aliyotupa Mungu kama vitega uchumi?? Kina dada hembu mjiheshimu japo kidogo..tunawapenda sana maana nyie ni mama zetu..na tunajisikia vibaya sana kuwaoneni uchi kila wakati sana sana nyakati za asubuhi kama leo..