Kina dada this is too much kwakweli

Stroke

JF-Expert Member
Feb 17, 2012
34,668
40,916
Namshukuru Mungu kwa kuiona siku nyingine tena nikiwa mwenye afya njema..ila hili nililoliona leo asubuhi limenifanya kujadili njia nzia nikiwa naelekea kwenye mishe zangu..sijui ni ukali wa maisha?? ama fasheni?? lakini kwa hili its too much..napitia kwenye ka mgahawa kupata kifungua kinywa..nakutana na binti mrembo kavalia vazi lake murua la kanga nyepesi..limempendeza kweli lakini kasoro moja kubwa..sehemu ya mapaja yooote ipo wazi..yaani unaona kila kitu unachohitaji kuona...halafu kaweka pozi mahali ambapo kila anaeingia anamuona..kumbuka si saa nane usiku wala si eneo la club?? hapana ni saa moja asubuhi na ni mgahawa mahali pa heshima..tuseme biashara matangazo..fasheni?? ama maisha magumu mpaka imefikia hatua ya kuifanyia miili aliyotupa Mungu kama vitega uchumi?? Kina dada hembu mjiheshimu japo kidogo..tunawapenda sana maana nyie ni mama zetu..na tunajisikia vibaya sana kuwaoneni uchi kila wakati sana sana nyakati za asubuhi kama leo..
 
Umemuona dada mmoja unasema kina dada na ukiwaona kina dada utasemaje??
 
Kwa sababu ili kuwa asubuhi naweza kusema alikuwa kikazi zaidi jana yake,hivyo asubuhi hii aliwakuwa akaachia hewa ndani kwenye nanii...!
Ila kiukweli wabongo wamebaki kuja kutembea barabarani na vichupi.
 
Namshukuru Mungu kwa kuiona siku nyingine tena nikiwa mwenye afya njema..ila hili nililoliona leo asubuhi limenifanya kujadili njia nzia nikiwa naelekea kwenye mishe zangu..sijui ni ukali wa maisha?? ama fasheni?? lakini kwa hili its too much..napitia kwenye ka mgahawa kupata kifungua kinywa..nakutana na binti mrembo kavalia vazi lake murua la kanga nyepesi..limempendeza kweli lakini kasoro moja kubwa..sehemu ya mapaja yooote ipo wazi..yaani unaona kila kitu unachohitaji kuona...halafu kaweka pozi mahali ambapo kila anaeingia anamuona..kumbuka si saa nane usiku wala si eneo la club?? hapana ni saa moja asubuhi na ni mgahawa mahali pa heshima..tuseme biashara matangazo..fasheni?? ama maisha magumu mpaka imefikia hatua ya kuifanyia miili aliyotupa Mungu kama vitega uchumi?? Kina dada hembu mjiheshimu japo kidogo..tunawapenda sana maana nyie ni mama zetu..na tunajisikia vibaya sana kuwaoneni uchi kila wakati sana sana nyakati za asubuhi kama leo..

Hiviii, nikumbushe; Mungu alivyotuumba alituumba na nguo? Nini chanzo cha kuvaa nguo, dhambi eeh! Hivi watoto wachanga wanahangaika na nguo? No way! Why? Coz they are innocent; na Malaika wanavaa nguo? Sidhani. Hivyo mimi nadhani huyo dada anaekea kwenye umalaika, na mwenye dhambi ni weye ambaye ukiona uumbaji wa Mungu (mwili) unawaka tamaa, ila ukiona uumbaji wa binadamau (Minguo unasuppress mitamaa yako).

Dont tell them how to dress; tell your heart to stop tamani!
 
Kumbe the reason behind nyie kuvaa uchi siku hizi ni kuwa mnakaribia umalaika sio?? kwahiyo wale wanaotembea uchi pale karibia na kituo cha afrika sana nao ni malaika woote..nimekuelewa sasa..angels of evil..
 
there is a fine line between dressing sexy and dressing trashy... r u sure she was the latter?
 
Kumbe the reason behind nyie kuvaa uchi siku hizi ni kuwa mnakaribia umalaika sio?? kwahiyo wale wanaotembea uchi pale karibia na kituo cha afrika sana nao ni malaika woote..nimekuelewa sasa..angels of evil..

So na watoto wachanga nao ni angels of devils?

Nikuulize, kwani dada akiacha mapaja yake nje kuna shida gani? Na hiyo shida ni kwa nani?

Wanaume wakiacha mapaja na vifua vyao nje kuna shida yoyote? Na ni kwa nani?
Tuanzie hapo kwanza. Na kama tunaamua kutumia mila, then lets go prior Christianity and Islamic era.
Na kama tunatumia dini tukubaliane tunatumia ipi?
 
Hiviii, nikumbushe; Mungu alivyotuumba alituumba na nguo? Nini chanzo cha kuvaa nguo, dhambi eeh! Hivi watoto wachanga wanahangaika na nguo? No way! Why? Coz they are innocent; na Malaika wanavaa nguo? Sidhani. Hivyo mimi nadhani huyo dada anaekea kwenye umalaika, na mwenye dhambi ni weye ambaye ukiona uumbaji wa Mungu (mwili) unawaka tamaa, ila ukiona uumbaji wa binadamau (Minguo unasuppress mitamaa yako).

Dont tell them how to dress; tell your heart to stop tamani!
hicho kitabu ulichosoma kinacha justify kuwa mtu kutembea uchi ni malaika kakichome moto, maana utahukumiwa nacho:
 
Hiviii, nikumbushe; Mungu alivyotuumba alituumba na nguo? Nini chanzo cha kuvaa nguo, dhambi eeh! Hivi watoto wachanga wanahangaika na nguo? No way! Why? Coz they are innocent; na Malaika wanavaa nguo? Sidhani. Hivyo mimi nadhani huyo dada anaekea kwenye umalaika, na mwenye dhambi ni weye ambaye ukiona uumbaji wa Mungu (mwili) unawaka tamaa, ila ukiona uumbaji wa binadamau (Minguo unasuppress mitamaa yako).

Dont tell them how to dress; tell your heart to stop tamani!
MUNGU mweyewe aliwafanyia nguo Adam na Hawa kwa kuchuna ngozi ya mnyama dada nadhani hiyo siyo biblia unayosoma
 
Back
Top Bottom