Kina dada, kwani kuolewa ni lazima?

Mh.... sio kweli

Asnam nahisi wewe ni ndugu yangu, kama sio ndugu yangu basi ni wa kule kule kwetu.... Make huwa naharibu kukusoma naona twafanana fanana.....

ukute we ni sista wangu make hapo rocky city nina ndg kibao teh teh teh..................eti nikimbilie ndoa kisa umri umeenda loh charminglady ntaingia huko nikiamua na kuona sasa ninahitaji kukaa nyumbani na mtu as husband and wife haijalishi niko 22,25 or 30,40 ilimradi nimeridhia toka moyoni maana ndoa ni kijiba cha roho.
 
Last edited by a moderator:
Mi nitatofautiana na wengine!

Naweza kusema ni UKWELI ... Though sio lazima iwe ni kwa wote.

As nimeona na kusikia sana nikiwa chuoni... hata mkikutana na age mates uliosoma nao a level, o level n.k story za kuolewa zinashika kasi zaidi.

Sasa yakukumbe ukiwa huna hata bf.. Au uliyenaye hajitambui .. Utakomajeee!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
nina miaka 29,na swala la ndoa naliona sio bahati yangu i mean sijioni nikiolewa in next five years,siingii ng'o mpaka niwe nimekamilisha mipango ya shule which will take me five years............:tape2:

na atakayekuoa wewe inabidi akapimwe akili :mvutaji:
 
money cant buy happynes ma friend,for women marriage is their happyness.....especially those above 2....
 
Ndo mana nikasema ni intrest ya mtu..wengine hawataki hata kusikia ndoa

wanawake wa ovyo ovyo ndio huwa hawaolewi,kusema hawataki ndoa ni kuzuga tu coz ishakula kwao na wana jua ilo..mwanamke wa maana sie aliyesoma sana au vp,thamani ya mwanamke ni ya kipekee sana
 
wanawake wa ovyo ovyo ndio huwa hawaolewi,kusema hawataki ndoa ni kuzuga tu coz ishakula kwao na wana jua ilo..mwanamke wa maana sie aliyesoma sana au vp,thamani ya mwanamke ni ya kipekee sana
Ni ipi hiyo....?
 
utu,unyenyekevu,uvumilivu na hekima...ivi ndio vinampa thamani mwanamke haijalishi anamuonekano gani.
Thamani ya mke ni mavazi,kula vizuri,kulala vizuri.....awe na hivyo vyote{Unyenyekevu,uvumilivu na hekima} afu afya na muonekano m'bovu useme ndo thamani ya mke? Hapo nimebisha..
 
Thamani ya mke ni mavazi,kula vizuri,kulala vizuri.....awe na hivyo vyote{Unyenyekevu,uvumilivu na hekima} afu afya na muonekano m'bovu useme ndo thamani ya mke? Hapo nimebisha..

tukienda sawa na hii post....kuna wanawake kwa muonekano wa haraka haraka wana kila kitu umbo zuri,sura nzuri,wanavaa label kubwa yani everything hadi elimu ya kutosha ila wakijifungia ndani wanalia kukosa mme na wanazeeka bila matumaini...wanaishia kutumiwa na wanaume wanaowatumia wanaenda kuoa wanawake wa kawaida sana...ushajiuliza uko wanafuata nini??usicheze na wanaume.
nikupe siri mwanaume mwenye akili kabla ajafikiria kukuoa anawaza mambo mengi sn,kuna siku inaweza tokea akaumwa sana akalala kitandani ata mwezi mzima,kuna siku anaweza akaporomoka kwenye bizness au akapigwa chini kazini,anawaza atatembelewa na ndugu wa karibu hapo nyumbani wengine wakitaka msaada...sasa mtu anakuangalia alafu anaifikiria kesho yake na wewe anaona acha akupige miti tu alaf atafute mwanamke wa kweli.
 
Hizo ni fikra dhaifu ndani ya vichwa vya baadhi ya wanawake but for me it's very different na wanaume nawajua sana tu
tukienda sawa na hii post....kuna wanawake kwa muonekano wa haraka haraka wana kila kitu umbo zuri,sura nzuri,wanavaa label kubwa yani everything hadi elimu ya kutosha ila wakijifungia ndani wanalia kukosa mme na wanazeeka bila matumaini...wanaishia kutumiwa na wanaume wanaowatumia wanaenda kuoa wanawake wa kawaida sana...ushajiuliza uko wanafuata nini??usicheze na wanaume.
nikupe siri mwanaume mwenye akili kabla ajafikiria kukuoa anawaza mambo mengi sn,kuna siku inaweza tokea akaumwa sana akalala kitandani ata mwezi mzima,kuna siku anaweza akaporomoka kwenye bizness au akapigwa chini kazini,anawaza atatembelewa na ndugu wa karibu hapo nyumbani wengine wakitaka msaada...sasa mtu anakuangalia alafu anaifikiria kesho yake na wewe anaona acha akupige miti tu alaf atafute mwanamke wa kweli.
 
Tumeumbwa tofauti Malezi tofauti
Upeo tofauti
Malengo tofauti
Mapito tofauti
Matamanio tofauti
Kuwahi au kuchelewa ni mental setting tu
 
....ukweli ukipingwa utabak kuwa ukweli, huwa narudia kauli yangu ya mara kwa mara kwamba angalia idadi ya watoto wazuri waliopo mitaani kisha hudhulia harusi mbalimbali utakuta wanao olewa wana sura ya kawaida sana! Hvyo wasichana endeleeni kubisha bt wanaume tunaangalia zaidi ya mnavyovidhan pale tutakapo kuoa...kama una tabia nzuri elimu inakuwa additional value, wanaume wengi na wenye akili hatupendi mke mwenye hela coz hamuwez kuziongoza hela bt hela ndo huwaongoza....wengi wenye sura nzuri sana ni viburi na wenye dhalau kuanzia kwa mmeo, nduguze na ndugu za mmeo..... Jf inaongoza kuwa na mademu wabishi na huwa nawaza aidha hawajaolewa na hawataolewa au huko ndan mwao wanaishi kimazoea.....f
 
Tumeumbwa tofauti Malezi tofauti
Upeo tofauti
Malengo tofauti
Mapito tofauti
Matamanio tofauti
Kuwahi au kuchelewa ni mental setting tu

Haya! We subiri malengo yako yatimie araf ukiangalia umri unapproach 40's, utalia mwenyewe......
 
nina miaka 29,na swala la ndoa naliona sio bahati yangu i mean sijioni nikiolewa in next five years,siingii ng'o mpaka niwe nimekamilisha mipango ya shule which will take me five years............:tape2:

who wll take uat da age of m'pause, wth aged 34? Take care!
 
Back
Top Bottom