Kina dada, kwani kuolewa ni lazima?

Wanawake wengi wanashindwa kudumu ktk ndoa zao kwa7bu ya uvichwa mchunga coz wanashindwa kutofautisha maisha ya ndoa na uchumba kwenye ndoa kuna mambo ambayo hayatofanyika kama enzi za uchumba kuolewa c utumwa wala ajira
 
Ndoa ni mapenzi, na mapenzi hayana bei.

Je, kwa wanawake wanaolea waume zao? Hao wanaume wameajiriwa kufanya nini?
 
Ukiona mwanamke yuko hivyo, sijui anaishije

Ndio maana mie kuna siku niliuliza, ukiolewa na baresa huna haja ya kufanya kazi?

Hahahaha. Yaani nimecheka utasema mazuri!
Sasa anaunguza chapati akiwa busy anafuatilia 'mchezo' ama bongo movie?
Hahahaha, you made my day.

Sumu ya ndoa bwana ni ugolikipa. Financial dependency is a No-Go zone kwenye mahusiano hata ya kindugu!
 
Kwani kuna utofauti kati ya UTUMWA na AJIRA? only a GT can recognize kuwa hizo words mbili ni kitu kimoja...
 
As long wote wanajihisi wanatumikia lengo moja, wanafarijiana, wanaliwazana kwenye ishu zao, sie kama wanapika chapati au kiwanda cha soda, kama wanagawana kazi vp hatuwezi kuhukumu kwa usahihi.
Ila kusema kama wapitanjia na kushangaa nadhani ni ruksa.
Kila mpenzi anatakiwa awe mtumwa wa mpenzi wake, ajitoe full.
Shida kama unajitoa mwenzio anakusanifu
 
mutu kaolewa mume yake tajiri sana huyo muke yeye hafanyi kazi na hata kijiraum hana anapigwa na jua kazi yake kupika muchuzi na chapati zilizoungua.
Kwenye handbag hata kijilaki hana kazi yake kuagiza migalaxy.
Mama yake anashida sana hamsaidii.
Huyu kaolewa kaajiriwa kuzaa na kupika muchuzi au ni mutumwa?
I guess utakuwa Mkikuyu!!!!
 
hhahahaha
@da sorphy kwa filamu we unatisha, yani leo unajifanya hujui kiswahili,kweli degree haitunzi mume
 
mutu kaolewa mume yake tajiri sana huyo muke yeye hafanyi kazi na hata kijiraum hana anapigwa na jua kazi yake kupika muchuzi na chapati zilizoungua.
Kwenye handbag hata kijilaki hana kazi yake kuagiza migalaxy.
Mama yake anashida sana hamsaidii.
Huyu kaolewa kaajiriwa kuzaa na kupika muchuzi au ni mutumwa?
Is housewife not an accupation? Mie nijuavyo kazi ya mama wa nyumbani ni kutunza familia yake, hasa baba awapo busy na utafutaji! Kuunga mchuzi na kukaanga chapati whether zilizoungua au la ni jukumu la mama huyu! Kazi hizi ni sehemu ya kuongeza kipato cha familia kwani mara nyingi katika familia ya mama ambaye ni hausewife, hatuhitaji kuajiri house girl na ama houseboy! Huoni kama hapa mama huyu ana save? Heshimianeni akina dada zangu!
-Pilli, suala la MKE whether housewife ama mwenye kazi NZURI na ki RAUM kama wewe kutokuwajali wazazi wake ni mapungufu yake na mume wake! Wazazi siku zote wanategemea msaada/huduma toka kwa watoto wao kwani watoto hawa tunaamini kuwa they are still strong enough to produce a surplus!-
Hii mambo ya mtu kuzungumzia -utumwa and so and so katika hili, mie naona ni mtu kujikweza na, ama kukosa maadili tu!
 
As long wote wanajihisi wanatumikia lengo moja, wanafarijiana, wanaliwazana kwenye ishu zao, sie kama wanapika chapati au kiwanda cha soda, kama wanagawana kazi vp hatuwezi kuhukumu kwa usahihi.
Ila kusema kama wapitanjia na kushangaa nadhani ni ruksa.
Kila mpenzi anatakiwa awe mtumwa wa mpenzi wake, ajitoe full.
Shida kama unajitoa mwenzio anakusanifu
hafanyi biashara anaunguza kumupikia mume yeye kumupikia mume,kuchi kuchi na galaxy
 
mutu kaolewa mume yake tajiri sana huyo muke yeye hafanyi kazi na hata kijiraum hana anapigwa na jua kazi yake kupika muchuzi na chapati zilizoungua.
Kwenye handbag hata kijilaki hana kazi yake kuagiza migalaxy.
Mama yake anashida sana hamsaidii.
Huyu kaolewa kaajiriwa kuzaa na kupika muchuzi au ni mutumwa?
Tatizo la wanawake wengi wanajua wakiolewa ndo shida za nyumbani kwao zitakwisha..kama ulishindwa mwanzon utawezaje mwishoni ndoa sio IMf/ au world bank..huyo ni mtumwa wa kifikra tu...!!!!
 
Back
Top Bottom