Kimenuka Ufipa, Makao Makuu yahamia Mikocheni kinyemela

Lowasa hakuwahi kufanikisha lolote kitaasidi kwenye utendaji wake. Anajijenga binafsi,siyo taasisi,mwenye kinyongo na kulipa kisasi.CCM walimtema kwani alijiona mkubwa kuliko CCM,kumbuka mafuriko ya Monduli,rejea ya Dodoma wajumbe kuimba kuwa wana imani na Lowasa,siyo CCM,baada ya kukatwa. CDM kinamalizwa na huyo mmeru,hana ubunifu ili kupambana na wakati.
Hao walio mtema Lowassa unaowaita CCM ndio wale walio tumbuliwa na wana nchi kwenye kugombea Ubunge na wale walio penya ndio Magufuli ana malizia kuwatumbua. Who won?....Tuco Benedicto Pacifico Juan Maria Ramirez.
 
Makamanda sometimes huanzisha mada kukosoa suti za Magufuli ama rangi za makochi ya ikulu lakini hutakaa uwaone wanakosoa chochote kuhusu chama chao hata kama kinachofanywa na viongozi wao ni ujinga.

Yaani wameshaaminishwa mwenyikiti hakosei na bila yeye hakuna chama maana yeye ndiye anakifadhili chama kwamba anakiendesha kwa pesa zake.

Kazi kweli.
 
Yale magwanda ambayo Mbowe alimuiga Fidel Castro siku hizi hayavaliwi tena na wale CHADEMA kindakindaki, kwa sababu nafsi zao zinawasuta. Fidel Castro wa bongo kazidiwa na nguvu ya fedha, ingawa yule original wa Cuba kawakomalia wamarekani mpaka katika uzee wake, na ni wao waliomuomba undugu wala siyo yeye. Fidel Castro wa bongo anazo tabia mbili za ndani kabisa, moja ni ile ya kupenda mapinduzi dhidi ya mamlaka za uongozi, na ya pili ambayo hawezi kuikwepa ni kule kushindwa kutozidiwa nguvu na ile harufu nzuri ya fedha nyekundu zinazonukia wakati zikitolewa kwenye mashine za ATM.
 
Wakuu, kama mnavyojua makao makuu ya chama chetu yako hapa ufipa, lakini katika hali ya kushangaza ndugu Edward Lowasa amegoma kutumia ofisi hizi pale anapotekeleza majukumu ya kichama na badala yake kazi za kichama kahamishia ofisi yake binafsi iliyoko Mikocheni ambayo haina hata bendera ya chama.

Mpaka sasa mikutano yote ya kichama ambayo inamuhusu Lowassa inafanyika huko Mikocheni, hata maalim Seif alipokuja kuonana na bwana Lowasa kama mgombea wa UKAWA, alienda huko mikocheni, Juzi wazee wa Dar es Salaam walipoenda kumtembelea mgombea urais wa chadema (Lowasa) walienda huko Mikocheni.

Huyu tuliyemkabidhi ugombea kagoma kabisa kutumia ofisi ya chama, na amekuwa akihamishia mikutano na vikao vya chama kufanyika katika ofisi yake binafsi ambayo haina hata bendera ya chama. Hapa ufipa watu hawaji tena.

Yani tumebaki sisi makamanda na meza zetu tu, wanachama wote wanaelekea hukoo mikocheni, hata baadhi ya makamanda wameanza kureport huko.

Hali ni tete wakuu.
Ndio mabadiliko yenyewe hayo :D :D
Lowassa Mabadiliko
Mabadiliko Lowassa....... :D :D :d
 
Usijitoe akili. Wakati EL anabinafsishiwa Chadema wewe ulikuwa wapi?

Hilo jengo, meza na viti havikuorodheshwa kwenye mkataba wa mauziano ndio maana mmebakimo nyie wenyewe.
 
Lowasa hakuwahi kufanikisha lolote kitaasidi kwenye utendaji wake. Anajijenga binafsi,siyo taasisi,mwenye kinyongo na kulipa kisasi.CCM walimtema kwani alijiona mkubwa kuliko CCM,kumbuka mafuriko ya Monduli,rejea ya Dodoma wajumbe kuimba kuwa wana imani na Lowasa,siyo CCM,baada ya kukatwa. CDM kinamalizwa na huyo mmeru,hana ubunifu ili kupambana na wakati.
Acha chuki
 
Wakuu, kama mnavyojua makao makuu ya chama chetu yako hapa ufipa, lakini katika hali ya kushangaza ndugu Edward Lowasa amegoma kutumia ofisi hizi pale anapotekeleza majukumu ya kichama na badala yake kazi za kichama kahamishia ofisi yake binafsi iliyoko Mikocheni ambayo haina hata bendera ya chama.

Mpaka sasa mikutano yote ya kichama ambayo inamuhusu Lowassa inafanyika huko Mikocheni, hata maalim Seif alipokuja kuonana na bwana Lowasa kama mgombea wa UKAWA, alienda huko mikocheni, Juzi wazee wa Dar es Salaam walipoenda kumtembelea mgombea urais wa chadema (Lowasa) walienda huko Mikocheni.

Huyu tuliyemkabidhi ugombea kagoma kabisa kutumia ofisi ya chama, na amekuwa akihamishia mikutano na vikao vya chama kufanyika katika ofisi yake binafsi ambayo haina hata bendera ya chama. Hapa ufipa watu hawaji tena.

Yani tumebaki sisi makamanda na meza zetu tu, wanachama wote wanaelekea hukoo mikocheni, hata baadhi ya makamanda wameanza kureport huko.

Hali ni tete wakuu.
Inamana bado lumumba wanawalipa bado kwa upuuzi kama huu?
 
Kama ni kweli una uchungu na hayo uliyoandika na ni kamanda wa kweli, peleka malalamiko yako kwa wahusika hapo Ufipa. Hapa utaonekana unafanya porojo tu!
Unaambiwa Ufipa kumebaki meza tu, nani atayapokea sasa, labda ayatume kwa S.L.P
 
Hiyo unasema wewe MTU muongo na mzushi wa daraja la juu hapa JF. Labda nikuulize wewe mzushi, mlifuatilia manunuzi hayo kama kodii ya serikali ililipwa? Isijekuwa mnajikita kwenye makontena tuu kumbe kuna kodi haijakusanywa according to mzushi Lizaboni
Ndo maana wakati hela zilizokamatwa akipeleka nje ya nchi wakati wa kampeni watu walihoji hilo. Na walitahadharisha kuwa hela hizo zimepatikana vipi katika wakati huu baada ya kuwa na tetesi za kuuzwa chama kwa EDO?

Ila kwa vile watu mnataka watu waone Mbowe ni malaika, mambo yanazidi kuonekana kwa watu.
 
Wakuu, kama mnavyojua makao makuu ya chama chetu yako hapa ufipa, lakini katika hali ya kushangaza ndugu Edward Lowasa amegoma kutumia ofisi hizi pale anapotekeleza majukumu ya kichama na badala yake kazi za kichama kahamishia ofisi yake binafsi iliyoko Mikocheni ambayo haina hata bendera ya chama.

Mpaka sasa mikutano yote ya kichama ambayo inamuhusu Lowassa inafanyika huko Mikocheni, hata maalim Seif alipokuja kuonana na bwana Lowasa kama mgombea wa UKAWA, alienda huko mikocheni, Juzi wazee wa Dar es Salaam walipoenda kumtembelea mgombea urais wa chadema (Lowasa) walienda huko Mikocheni.

Huyu tuliyemkabidhi ugombea kagoma kabisa kutumia ofisi ya chama, na amekuwa akihamishia mikutano na vikao vya chama kufanyika katika ofisi yake binafsi ambayo haina hata bendera ya chama. Hapa ufipa watu hawaji tena.

Yani tumebaki sisi makamanda na meza zetu tu, wanachama wote wanaelekea hukoo mikocheni, hata baadhi ya makamanda wameanza kureport huko.

Hali ni tete wakuu.
Kwahiyo tufanyeje?
 
Kwani Lowasa alikuwa mgombea wa CHADEMA? Mie sijui maana nilimsikia kwenye mikutano ya kampeni akinadi wagombea wa CCM
Mbunge wa Nzega Mjini (CCM), Hussein Bashe, amekosoa mpango wa utoaji elimu bure, unaoendeshwa na serikali ya chama chake chini ya Rais Magufuli. “Kama nchi tuko kwenye wakati mgumu, Si dhambi kukiri tulifanya kosa ktk kuutekeleza mfumo huu na hatujui tunataka kujenga taifa la namna gani kwa sababu tulishafanya makosa awali. Tunapaswa kukaa mezani na kuanza upya,” alisema.
 
M
Wakuu, kama mnavyojua makao makuu ya chama chetu yako hapa ufipa, lakini katika hali ya kushangaza ndugu Edward Lowasa amegoma kutumia ofisi hizi pale anapotekeleza majukumu ya kichama na badala yake kazi za kichama kahamishia ofisi yake binafsi iliyoko Mikocheni ambayo haina hata bendera ya chama.

Mpaka sasa mikutano yote ya kichama ambayo inamuhusu Lowassa inafanyika huko Mikocheni, hata maalim Seif alipokuja kuonana na bwana Lowasa kama mgombea wa UKAWA, alienda huko mikocheni, Juzi wazee wa Dar es Salaam walipoenda kumtembelea mgombea urais wa chadema (Lowasa) walienda huko Mikocheni.

Huyu tuliyemkabidhi ugombea kagoma kabisa kutumia ofisi ya chama, na amekuwa akihamishia mikutano na vikao vya chama kufanyika katika ofisi yake binafsi ambayo haina hata bendera ya chama. Hapa ufipa watu hawaji tena.

Yani tumebaki sisi makamanda na meza zetu tu, wanachama wote wanaelekea hukoo mikocheni, hata baadhi ya makamanda wameanza kureport huko.

Hali ni tete wakuu.
Mbona Mikutano ya kamati kuu ya ccm inafanyika ikulu? Je, ikulu ni makao makuu ya ccm? Please and please, let us honor our forum by posting threads with sound relevance.
 
Ndo maana wakati hela zilizokamatwa akipeleka nje ya nchi wakati wa kampeni watu walihoji hilo. Na walitahadharisha kuwa hela hizo zimepatikana vipi katika wakati huu baada ya kuwa na tetesi za kuuzwa chama kwa EDO?

Ila kwa vile watu mnataka watu waone Mbowe ni malaika, mambo yanazidi kuonekana kwa watu.
OK baada ya hizo hela kukamatwa nini kiliendelea? Unaishi kwa kuendekeza uvumi wa maneno!
 
Bora kuwa msaliti, kuliko kuwa mnafiki.
1456558750023.jpg
 
Back
Top Bottom