Kimbunga cha M4C chaitikisa CCM Morogoro

Mshika mmoja akija hapa utasikia walikuwa magamba na mzigo kwa chama.Ila hao magamba na mzigo nashangaa kutowafutia/kuwatimua uanachama ni mpaka wao wenyewe waamue kujivua uanachama wenyewe ndipo wanaitwa mzigo na gamba ndani ya chama.waje tuu kwetu hata kama ni gamba tutawabatiza na kuwa wapya katika taifa,Hata kama nanini tutampatia ubatizo kama wa Yohana mbatizaji na watakuwa wapya tena.M4C IDUMU.
 
Ile mikutano ya CCM vipi imeishia wapi?

Mkuu.. Unaweza kuwaongopea baadhi ya watu kwa muda fulani but huwezi kuwaongopea watu wote na ciku zote..! Watanzania wengi wameshachoka na na ahadi za uongo ambazo zimekuwa zikirudiwa rudiwa kwa miaka hamsini iliopita..! Na wanaona ahadi ya maisha bora inakuwa kwao tu viongozi.. Kwa hiyo leo wakiamua kuitisha mkutano utakaowaona wanahamasisha ni viongozi na wananchi ambao wananufaika na majengo na matawi ya ccm yaliotapakaa.. Huko wamepangisha na hela ndo zinazowasaidia kuendesha maisha.. Baki ya hapo hakuna mwananchi mwingine ambae anaweza kushawishika tena na uongo huo wa ccm.. Imagine kwa miaka kumi unamuahidi mwananchi huyo kile kile bila ya kukitelekeza..!
 
Ukiona chama kinategemea Mwigulu na Nape kama strategist wake ujue chama hicho kinaelekea kaburini. Maskini CCM ndo inatutoka polepole sababu ya UDHAIFU wa uongozi

Tunafurahia kuagana na ccm,byebye,mafisadi,kwa heri Kikwete.VIJANA WAFURAHIA,WAMAMA WAFURAHIA,WAZEE WAFURAHIA PAMOJA TUSEME KWA HERI NYINYIEMU.
 
chonde chonde chadema mkiona dalili za watu hao walipotini polisi haraka iwezekanavyo hata kama ni wanachama wenu maana watu wanaweza kununuliwa na wao wakakubali
 
Hao danganya toto nani asiyewajua CDM kwa uongo ss hv hata mtoto hamumdanganyi

ni watu waina yako tu ndo hawajakoma na maisha magumu na pia wanang'ang'ania ccm iliyokosa dira ya kuwaletea

watanzania maendeleo
 
Hapo kwenye red nimefarijika sana, siku zote wana-CHADEMA tumtangulize Jehova, allah mbele tutafanikiwa. Mungu ni chanzo cha haki, hawezi acha watu wake tulioitwa kwa jina lake tuendelee kuteseka.

Wale wa chama cha Mabwempande, utasikia wanasema "CDM ni chama cha udini," maana wao na Mwenyezi Mungu ni sawa na mtetea haki na Mabwempande!!
 
Hapo kwenye red nimefarijika sana, siku zote wana-CHADEMA tumtangulize Jehova, allah mbele tutafanikiwa. Mungu ni chanzo cha haki, hawezi acha watu wake tulioitwa kwa jina lake tuendelee kuteseka.
na tunaamini chama chetu sio cha malaika,hivyo basi ndani yetu kunaweza kuwapo mamluki na wasio waadilifu sasa tukichangaya na mungu kwa imani tutawatokomezea mbali na kuikomboa hii nchi kotoka utumwa mweusi.
 
[h=1]Operesheni Sangara Ya Chadema ndani ya Mvomero-Morogoro Yazidi Kupasua Vijiji![/h]
Written by haki | // 0 comments
Aliyekuwa+Katibu+Mwenezi+wa+CCM+kata+ya+Muhonda+akieleza+jinsi+alivyokunwa+na+sera+za+CHADEMA+zilizoelezwa+na+katibu+Mkuu+wa+BAVICHA+katika+mkutano+wa+hadhara+katika+kijiji+cha+Kichangani.JPG
Aliyekuwa Katibu Mwenezi wa CCM kata ya Muhonda akieleza jinsi alivyokunwa na sera za CHADEMA zilizoelezwa na katibu Mkuu wa BAVICHA katika mkutano wa hadhara katika kijiji cha Kichangani.
Katibu+Mkuu+wa+BAVICHA+Deogratias+Munishi+akikabidhiwa+kadi+na+sare+za+CCM+kutoka+kwa+katibu+mwenezi+wa+kata+ya+Muhonda+Jimbo+la+Mvomero%252C+Mzee+Ngoya..JPG
Katibu Mkuu wa BAVICHA Deogratias Munishi akikabidhiwa kadi na sare za CCM kutoka kwa katibu mwenezi wa kata ya Muhonda Jimbo la Mvomero, Mzee Ngoya.
Katibu+Mkuu+wa+BAVICHA+Deogratias+Munishi+akimkabidhi+kadi+ya+CHADEMA+aliyekuwa+mwenyekiti+wa+serikali+ya+kitongoji+cha+Kododo+jimbo+la+Mvomero%252C+bwana+Charles+Kiwaga.+Wengine+ni+wanachama+wapy.JPG
Katibu Mkuu wa BAVICHA Deogratias Munishi akimkabidhi kadi ya CHADEMA aliyekuwa mwenyekiti wa serikali ya kitongoji cha Kododo jimbo la Mvomero, bwana Charles Kiwaga. Wengine ni wanachama wapya wa CHADEMA tawi la Kododo Mvomero.
Katibu+Mkuu+wa+BAVICHA+Deogratias+Munishi+akikagua+majengo+ya+shule+ya+msingi+Kododo+kata+ya+Luale+jimbo+la+Mvomero.+Shule+hii+ina+wanafunzi+652+na+mwalimu+mmoja+tu..JPG
Katibu Mkuu wa BAVICHA Deogratias Munishi akikagua majengo ya shule ya msingi Kododo kata ya Luale jimbo la Mvomero. Shule hii ina wanafunzi 652 na mwalimu mmoja tu.
Mwenyekiti+wa+serikali+ya+kitongoji+cha+Kododo%252C+Charles+Kiwaga+%2528kulia%2529+akifafanua+kero+ya+shule+ya+msingi+kododo+kwa+kayibu+mkuu+wa+Bavicha+Deogratias+Munishi.+Katikati+ni+mjumbe+wa+kamati+ya+.JPG
Mwenye shati la rangi ya udongo na suruali nyeusi-ndiye Mwalimu Mkuu na mwalimu pekee katika shule nzima ya Kododo iliyopo kata ya Luale, mwenye kombati,Katibu Mkuu wa BAVICHA Deogratias Munishi alipokuwa akionyeshwa hali halisi ya maendeleo kielimu katika kijiji cha Kadoda. Jengo lililopo nyuma ni moja ya madarasa ya shule hiyo.Picha na Habari na CHADEMA
--
Hali halisi ya Elimu Mvomero: Shule ya Msingi Kododa,Mwalimu mmoja wanafunzi 652

Operesheni Sangara inayoendelea kwa upande wa Katibu Mkuu wa Baraza la Vijana la CHADEMA (BAVICHA), Bwana Deogratias Munishi amezidi naye kupasua vijiji ndani ya Mvomero, Morogoro. Pia wanavijiji walimuonyesha hali halisi ya maendeleo katika kata yao ya Luale kwa kipindi kirefu walichokuwa chini ya CCM tangu miaka 50 iliyopita mpaka sasa na wakiwa wamekata shauri kujiunga na CHADEMA kama chachu ya mabadiliko
 
Naona CDM wote majuha, hao mlioopokea ni wale tu walioshindwa kwenye uchaguzi na kwa kuwa wanajua CDM haina uongozi wa matawi kata wala wilaya wanakimbilia huko wakiwaokota CDM huku wakijua siku ya siku hawana lao.
Let me this: Rumors are carried by haters spreaded by fools and accepted by ******:sleepy::sleepy:
 
M4C go go go hadi kule kwa Shabiby - Gairo na tarafa/kata zake zote, ukweli ni kwamba kwa wenzetu hao bado hakujapambazuka kabisa!
 
Back
Top Bottom