Omutwale
JF-Expert Member
- Feb 4, 2008
- 1,429
- 1,045
Je, wajua kwa nini Idd Azan alisitisha mbembwe za kuunga mkono kampeni "Vua Gamba" kwa aibu na kwa kuomba msamaha?
Una fununu ya ugomvi kati ya Madabiba na Azzan?
Soma comment hii ya 21st May 2013
Posted 24th May 2011 13:08Nilikuwa nasoma gazeti la Tanzania daima leo, nikakutana na kitu cha ajabu!
Inadaiwa katibu wa CCM Mkoa wa Dar es salaam bwana Kilumbe Ng'enda amemtuhumu mbunge wa Kinondoni bwana IDD AZZAN kuwa ni muuza dawa za kulevya hivyo aache kuwa nyooshea vidole vingozi wa mkoa kuwa wajivue gamaba kwani nayeye si mwanminifu.....
SOURCE: IPASHE JUMAPILI - http://www.ippmedia.com/frontend/?l=30067Kilumbe anaelezwa kwamba alimsema hadharani Mbunge Azzan kuwa anahusika na biashara ya dawa za kulevya katika kikao cha UVCCM wilaya ya Kinondoni, na hivyo kuharibu hali ya hewa.
Una fununu ya ugomvi kati ya Madabiba na Azzan?
Soma comment hii ya 21st May 2013
Azzan alikuwa anampiga madongo Zarina Madabida [ viti maalum CCM Dsm] … walizikana kwenye biashara zao za madawa ya kulevya si unajua tena ubunge ndio pazia ya kuficha hayo madudu yao. Kama unabisha ulizia kesi ya yule dada ya mbunge Munde Tambwe [viti maalum CCM Tabora] aliyekamatwa kiwanja cha ndege akiwa na madawa ya kulevya imeishia wapi?
Mfanya biashara mkubwa Nguli wa madawa ya kulevya hata pale Magogoni wanajua!