Rassa
JF-Expert Member
- Feb 26, 2013
- 332
- 295
Majina yao kuwa mengi yabadhihirisha kuwa wao ndio wengi zaidi hapa nchini. Waliotajwa sio wa dini fulani ila ni watanzania.Kuna uhusiano wa dini fulani na madawa ya kulevya?.....
Majina yao kuwa mengi yabadhihirisha kuwa wao ndio wengi zaidi hapa nchini. Waliotajwa sio wa dini fulani ila ni watanzania.Kuna uhusiano wa dini fulani na madawa ya kulevya?.....
Kweli kabisa Mkuu..Kuna uhusiano wa dini fulani na madawa ya kulevya?.....
Kweli kabisa.Hivi kwanini wananchi wa jimbo la kinondoni bado wanaendelea kuwa kimya badala ya kumtaka mbunge wao ajiuzulu? Dah, watu wanawakilishwa na muuza unga anayeharibu maisha ya watoto wao wenyewe! Shame!