BIN BOR
JF-Expert Member
- Nov 23, 2010
- 1,013
- 407
Kuna mawaziri wananichefua kwa lugha zao na zaidi, pale wanapogeuza haki zetu kuwa 'kilio'. mmoja wao ni Mizengwe Pinda. Utawasikia wanasema hivi:-
"nitamfikishia rais kilio chenu cha katiba"
HATULII, NYAMBAF WE!
"Rais amesikia kilio chenu cha maji"
PAMBAV! TUNATAKA HAKI YA MAJI SAFI WE UNASEMA KILIO
na waandishi wa habari watasema katika taarifa zao.....
"kilio cha wanamichezo kuhusu viwanja vya wazi......."
SHNZ! NINYI NDIO MNALIA NA NJAA ZENU. TUNATAKA VIWANJA, HATULII SISI.
Nimekasirishwa na kauli zao lakininatumaini mmenielewa waungwana.