Kilio

BIN BOR

JF-Expert Member
Nov 23, 2010
1,013
407
Kuna mawaziri wananichefua kwa lugha zao na zaidi, pale wanapogeuza haki zetu kuwa 'kilio'. mmoja wao ni Mizengwe Pinda. Utawasikia wanasema hivi:-

"nitamfikishia rais kilio chenu cha katiba"
HATULII, NYAMBAF WE!

"Rais amesikia kilio chenu cha maji"
PAMBAV! TUNATAKA HAKI YA MAJI SAFI WE UNASEMA KILIO

na waandishi wa habari watasema katika taarifa zao.....

"kilio cha wanamichezo kuhusu viwanja vya wazi......."
SHNZ! NINYI NDIO MNALIA NA NJAA ZENU. TUNATAKA VIWANJA, HATULII SISI.

Nimekasirishwa na kauli zao lakininatumaini mmenielewa waungwana.
 
Few people are capable of expressing with equanimity opinions which differ from the prejudices of their social environment. Most people are even incapable of forming such opinions.
 
Umeniweka katika level nyingine kabisa ya kuwaza mtoa mada!
Big Up BB
 
Kuna mawaziri wananichefua kwa lugha zao na zaidi, pale wanapogeuza haki zetu kuwa 'kilio'. mmoja wao ni Mizengwe Pinda. Utawasikia wanasema hivi:-

"nitamfikishia rais kilio chenu cha katiba"
HATULII, NYAMBAF WE!

"Rais amesikia kilio chenu cha maji"
PAMBAV! TUNATAKA HAKI YA MAJI SAFI WE UNASEMA KILIO

na waandishi wa habari watasema katika taarifa zao.....

"kilio cha wanamichezo kuhusu viwanja vya wazi......."
SHNZ! NINYI NDIO MNALIA NA NJAA ZENU. TUNATAKA VIWANJA, HATULII SISI.

Nimekasirishwa na kauli zao lakininatumaini mmenielewa waungwana.

Mkuu nimeipenda sana hii thread... i never thought it that way, yaani!!!

Inaonekana kama tuko desperate sana na wao ndo messiah wetu, sh!t

nimemaind
 
Thanks great thinker, kwa staili hiyo inaonyesha kana wao siyo kilio chao hakiwahusu ni sawa na kusema 'eti' wao wanataka wakati mimi sitaki. Mfano huo wa Pinda ni kusema yeye hahitaji katiba is not part of but acting as a vehicle to deliver the message.
 
big up mkubwa upo sahihi mtoa mada. Hakuna mliaji hapa ispokua kila mtu lazima atekeleze majukumu yake.
 
Our PM
Can not make Decisions...... eg. Dowans, Mahakama ya kadhi, manunuzi ya VX V8.:A S-confused1::A S-confused1::frusty::frusty::faint::faint::A S-omg::A S-omg:
Can not exercise power....
Can not be trusted any more.......
We can not be fooled any more...... enough is enough,
 
What powers does the PM has that he can make decisions? I see him more as president's personal assistant.
 
Wewe bwana umenifurahisha sana. Inaelekea unawasoma hawa wakulu na kutafakali sana. Mungu akubariki. Hawa ndio wale waliokuwa wakituahidi kuleta maendeleo. wao wanahitaji vilio tu kila siku tuwe na vilio. Hamu yao kusikia vilio na kuvisikiliza. Vilio vilio vilio mbona wanaona kila hitaji letu ni kilio?
 
Tatizo ni kwamba wanahudhuria vilio lakini hawatoi rambirambi.......
 
Mnapoteza muda! hilo linchi halitofanya lolote mpaka kuwe na new constitution FULL STOP halafu viongozi wote wa sasa wawe cleansed to hell and there should be a new start, yaani kuanzia chama na government yake! yaani hata katibu tarafa sijui mjumbe wa nyumba kumi kumi wa CCM asiwepo ktk 2015 election! Jeeezz!
 
Juzi Freeman naye kachemka........"kilio chetu cha kuwa na serikali ndogo.........," unamlilia nani na wewe ndiye kiongozi mkuu wa upinzani?
 
ujue hata mi nashangaa shida zinazowakabili wananchi,,, wengine wanaita vilio wakati ndo zipo kwenye hizo ilani zao... Wanaona ni kama zawadi kuwapa
 
wananikera sana wabunge wanapoenda kutoa asante majimboni baada ya kuchaguliwa. Tunataka wafanye kazi
 
Kilio chenu cha kutaka maghala ya silaha yaondolewe kwenye kambi zilizoko karibu na makazi yenu tumekisikia.si ndivyo watakavyosema kesho.totaly insane!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom