Kilio cha msaada wa dhati, nateseka

Good ubarikiwe Ngwanakilala
getegete

<br />
<br />
mungu akuzidishie mkuu kwa kujitolea kumsaidia huyo kijana. Wengine hapa tumechoka, misaada yetu ni kumuombea kwa mungu tu.

Aksanteni wote. I am working na ndugu yetu Mazikukulwa. Tuna pursue leads kama 6 zingine ni zile mlizosuggest nyinyi wana JF. It will take a little while but one of the leads will definately materialize within 90 days. Tumefahamiana, nimesoma CV yake na kumfahamu kidogo. He is a nice, decent young fela with gud education & atitude- and that is all thats needed to succeed. Wana JF aksanteni na naomba muendelee kutoa suggestsions. Tunasoma zote na kuzifanyia kazi.
 
Ahsante sana mdau ngwanakilala na wana jf family wote kwa msaada mkubwa.mmenipa matumaini mpya kabisa.
aksanteni wote. I am working na ndugu yetu mazikukulwa. Tuna pursue leads kama 6 zingine ni zile mlizosuggest nyinyi wana jf. It will take a little while but one of the leads will definately materialize within 90 days. Tumefahamiana, nimesoma cv yake na kumfahamu kidogo. He is a nice, decent young fela with gud education & atitude- and that is all thats needed to succeed. Wana jf aksanteni na naomba muendelee kutoa suggestsions. Tunasoma zote na kuzifanyia kazi.
 
NK hongera kwa kumsaidia mshkaji kupigana na kurudisha maisha yake kwenye mstari tena!!

Be blessed!

Mazikukulwa kila la kheri...hope it all works out!!!
 
Aksanteni wote. I am working na ndugu yetu Mazikukulwa. Tuna pursue leads kama 6 zingine ni zile mlizosuggest nyinyi wana JF. It will take a little while but one of the leads will definately materialize within 90 days. Tumefahamiana, nimesoma CV yake na kumfahamu kidogo. He is a nice, decent young fela with gud education & atitude- and that is all thats needed to succeed. Wana JF aksanteni na naomba muendelee kutoa suggestsions. Tunasoma zote na kuzifanyia kazi.
Hii ndio urafiki wa kweli humu jamvini, sio tunaishia kupeana ushauritu na misaada kama hivi aisee nashukuru Ngwanakilala kwa niaba ya wana JF wote
 
Mkuu maziku pole kwa misukosuko then nakupongeza kwa wewe kuwa muwazi, kwa kujishughurisha katika kipindi chote hicho tangu ulipohitimu chuo. Natumai Mungu atakujalia future nzuri na salama. Tupo pamoja katika sala na maombi ya mafanikio!
 
Naumia kuona au kusikia mtu anateseka at the same time ana familia inamtegemea.
 
Jeshi halimtupi mtu....jaribu jeshini,within a year utakuwa captain.
 
Ndugu yangu Maziku..nimesoma hoja yako zaidi ya mara moja..na kujenga picha ya maisha yale ambayo wengi wetu tumepitia.. Tunajua maumivu yako..

Kikubwa usikate tamaa, Amini Mungu yuko na ndiye aliyekuongoza kuja hapa JF. Mawazo mengi mazuri yametolewa na uyafanyie kazi..Voluntary work ni kitu kizuri wakati tunafukuza deals, lakini kikubwa kwanza ni kujikimu na kuwarudisha watoto shule....

Tuko pamoja nawe..na uwe unaangalia email yako mara kwa mara.....
 
Ahasante sana ndugu yangu kwa maneno ya faraja.
ndugu yangu maziku..nimesoma hoja yako zaidi ya mara moja..na kujenga picha ya maisha yale ambayo wengi wetu tumepitia.. Tunajua maumivu yako..

Kikubwa usikate tamaa, amini mungu yuko na ndiye aliyekuongoza kuja hapa jf. Mawazo mengi mazuri yametolewa na uyafanyie kazi..voluntary work ni kitu kizuri wakati tunafukuza deals, lakini kikubwa kwanza ni kujikimu na kuwarudisha watoto shule....

Tuko pamoja nawe..na uwe unaangalia email yako mara kwa mara.....
 
Ndiyo maana ya home of GT hakuna linaloharibika humu jamvini kuna watu hasa na viatu ni vichache sana hili jamvi ni zaidi ya keybord
 
Pole sana Mdau,mimi daima naamini kuwa Mungu wetu ni mwema sana na riziki zetu wote zinatoka kwake kama tukimwamini na kumwomba kwa dhati na kweli, Mungu hugawa riziki kwa kila amwombae, si unajua kuwa imeandikwa "ombeni nanyi mtapata".,usikate tamaa na hali uliyonayo, chukulia kama sote tumepanga foleni ya kuomba msaada na hata kama wewe upo nyuma kidogo utapata tu.
Mimi binafsi nilishawahi kuwa kwenye hali kama yako baada ya kuamua kuacha kazi niliyokuwa nafanya awali kwa sababu tu sikuwa naelewana na bosi wangu,ingawaje ndio kazi iliyokuwa inaniweka mjini lakini nilipiga moyo konde nikaachana nayo na kuingia kwenye maombi ya nguvu ili Mungu anipe kazi ile ambayo nitaifanya kwa amani, nilifunga na kuomba na siku niliyotoa resignation letter nikaona jina kwenye gazeti naitwa kwenye interview nikapata nguvu zaidi nikafanya na hatimae nikapata kazi ambayo ni nzuri kuliko ile ya awali.,Maombi yanasaidia sana kaka na kwa hili nakuahidi kuwa upo kwenye sala zangu..Shalom.
 
Ahsante sana ndugu kwa kunipa moyo na zaidi kuniweka katika sala zako,ahsante sana sana.
pole sana mdau,mimi daima naamini kuwa mungu wetu ni mwema sana na riziki zetu wote zinatoka kwake kama tukimwamini na kumwomba kwa dhati na kweli, mungu hugawa riziki kwa kila amwombae, si unajua kuwa imeandikwa "ombeni nanyi mtapata".,usikate tamaa na hali uliyonayo, chukulia kama sote tumepanga foleni ya kuomba msaada na hata kama wewe upo nyuma kidogo utapata tu.
Mimi binafsi nilishawahi kuwa kwenye hali kama yako baada ya kuamua kuacha kazi niliyokuwa nafanya awali kwa sababu tu sikuwa naelewana na bosi wangu,ingawaje ndio kazi iliyokuwa inaniweka mjini lakini nilipiga moyo konde nikaachana nayo na kuingia kwenye maombi ya nguvu ili mungu anipe kazi ile ambayo nitaifanya kwa amani, nilifunga na kuomba na siku niliyotoa resignation letter nikaona jina kwenye gazeti naitwa kwenye interview nikapata nguvu zaidi nikafanya na hatimae nikapata kazi ambayo ni nzuri kuliko ile ya awali.,maombi yanasaidia sana kaka na kwa hili nakuahidi kuwa upo kwenye sala zangu..shalom.
 
pole sana mkuu..kuwa confident na usiogope kuingia ofisi yoyote..omba appointment na mkurugenzi..secretary akiuliza kuhusu nini usiseme official sema personal issues..wewe ni nani kwake? mwambie jamaa yake..in that way utafanikiwa kuonana na mabosi wengi...ukikutana nae mweleze ur story..mwambie kuhusu firm uliowai kufungua....nina uakika lazima utapata somebody who will be willing tu help you ata kuupa ushauri zaidi au kukuconect....najua it's hard but jaribu bcoz kuna watu nawafaham wamefanikiwa..
 
Back
Top Bottom