kifumbiko
JF-Expert Member
- Oct 29, 2012
- 213
- 44
sasa hv mwalalamika itakapofika 2015.mabaliko hamfanyi kwa kudanganywa na kamwaka kamoja.tuliosoma uchumi kuna sera mbili hapo zatumika kila kabla ya mwaka 1 wa uchaguz nayo ni expansion policy, na contraction policy baada ya kuingia madarakani.badilikeni watanzania acheni kushabikia vyama wapimeni viongoz wenu kwa yapi waliyoyafanya wakiwa bungeni miaka mitano? matokeo ndo hayo,kupandishiwa gharama za umeme,mawasiliano,afya duni na mengineyo. CNA CHAMA. KIONGOZ MCHAPA KAZ ANAPEWA RIDHAA AWE CCM AU CHADEMA AU CAF AU TLP.AHSANTEN SANA.