Pastor Achachanda
JF-Expert Member
- May 4, 2012
- 3,022
- 1,305
Ingekuwa upo hapa Singapore(SONGEA)Ingekuwa rahisi maana mimi pia nazalisha uyoga na kuuza.Niwekee namba yako ya simu hp
Ingia youtube utapata kila kitu huko
Habari waheshimiwa!!
mimi ni mhitimu wa chuo,nimeamua kujikwamua kwa kilimo cha uyoga.Sio haba ninavuna saivi daily kilo za kutosha.
Tatizo ni kuwa sina soko la uhakika..sana sana kuna walanguzi wachache wananilangua hao mpaka najilaumu.
Sasa,kuna mwenye msaada naweza kujua namna ya kupata soko la uhakika?Ahsante
Mhitimu wa chuo, unaweza ku-practice online marketing angalau kidogo kwa kuweka Price/Kg, Sehemu unapatikana, aina ya uyoga, uwezo wako wa ku-supply ni kiasi gani? Contacts zako za simu......nakuhakikishia utajikuta unapata Soko la uhakika humuhumu JF. Ni hayo tu kwa leo.
wadau nasikia biashara ya uyoga inalipa sana. Naomba kufahamishwa yafuatayo:-
- Ni kweli kuwa ni biashara nzuri?
- Je marketing yake ipo wapi na ni namna gani inafanywa?
- Anae jihusisha na hio biashara inatakiwa bora alime mwenyewe ama tu hata kufuata kwa wale wanao lima hilo zao?
- Ni wapi hasa wanashughulika na hiyo biashara ambako naweza pata ujuzi na majibu zaidi?
Nawasilisha wakuu.
Wanabodi wasalaam
Naomba mwenye kujua wapi nitapata mbegu ya uyoga,mwenye kujua tafadhali anipm