kwani we una tatizo na pm?nyabhingi hiyo juice inauzwa kimagendo nini mpaka mtu aku PM ndio umuelekeze !!
kama unataka pm kama hutaki chukua time...mshamba nini?Mwaga mambo hadharani sio kilakitu mpaka PM, nini maana ya kuweka thread sasa???
kama unataka pm kama hutaki chukua time...mshamba nini?
Mhhh umepata four ya point ngapi?
kama unataka pm kama hutaki chukua time...mshamba nini?
Mie naongezea zero ya ngapi? 34 au 35?
inatwanga kotekote,..mademu kibao wanagonga uyoga pale..Haiongezi nguvu za kike?
uyoga upo wa aina nyingi sana, sasa hapa ni uyoga upi unaouzungumzia? mwaga data zote hapa achana na mambo ya pm na kwa jinsi ninavyoufahamu uyoga unaweza kusababisha maafa makubwa kwa wanaJF. Uyoga si kitu cha kufakamia kuna aina za uyoga ni sumu mbaya sana tena zaidi ya pollonium 210 na pia ukiupika isivyotakiwa inageuka sumu. sasa wewe usije kuwafanya watu humu wakachume uyoga shambani na kuuuchemsha wakafa