Kilimo cha zao la Ufuta: Masoko, Mbinu na Ushauri Toka kwa Wadau

Okey cha msingi ni kakikisha unapoenda kulima maji hayatuami na upigaji wa dawa za kuuwa wadudu ni muhimu sana lfiji sijawahi fika ila ufuta unastawi sana pia kuna mbegu ambazo zinasoko kubwa pia hili uzingatie mim nipo moro kwa sasa ila natamani sana kama ninge pata shamba huko vipi yanapatika huko?
 
Mbegu gani zenye soko mkuu. Binafsi sijafika Kwa sasa kuna mtu alikuwa anashughulikia huko ila nasikia yapo. Kwa mfano ukisogea hadi Kibiti unatapata eka Kwa elfu 60 tu ya kununua kabisa si kukodi.
 
Usivunjike moyo ufuta hautabiliki we lima kwa wingi utakuwa tajiri cha msingi ni kujua soko na bei nzuri tuwasiriane lkn ningependa jua unataka kulima wapi ili nikupe ushauri zaidi.

Mkuu mi nataka kulima Dodoma, naomba ushauri mkuu ntmgenesis
 
Okey cha msingi ni kakikisha unapoenda kulima maji hayatuami na upigaji wa dawa za kuuwa wadudu ni muhimu sana lfiji sijawahi fika ila ufuta unastawi sana pia kuna mbegu ambazo zinasoko kubwa pia hili uzingatie mim nipo moro kwa sasa ila natamani sana kama ninge pata shamba huko vipi yanapatika huko?

Sorry kaka nawez mawasiliano yako mkuu?
 
mkuu mi nataka kulima dodoma, naomba ushauri mkuu ntmgenesis

Kaka hii ngoma Dodoma inastawi sana kwa sababu dodoma ina mvua za wastani na maji hayatuami hivyo kufanya ufuta kustawi vizuri la msingi ni kulima maeneo yenye rutuba utafanikiwa sana.
 
Nashukuru sana mkuu kwa ushauri. Vp upande wa mbegu lindi02 kwa dodoma ni nzuri?
 
nashukuru sana mkuu kwa ushauri. Vp upande wa mbegu lindi02 kwa dodoma ni nzuri?

Hii mbegu imefanyiwa research kule Mtwara na kituo kimoja kinaitwa Naliendele ni mbegu nzuri na inauwezo mkubwa wa kuvumilia magonjwa yaani lazima uvune na inastawi sehemu zote kwenye hali yenye rutuba Dodoma inafanya vizuri sana ukiweza kulima utaamini kuna mzee mmoja huko ni mtaalamu sana nitaongea nae niwaunganishe yy yuko chamwino.
 
Duuu aisee hauko serious kunisaidia kaka
Huwez kunipa email sa kuna tofauti gani na kuchatia hapa jf?
If you wanna help give me yo number not email

Samahani nazani naweza kukusaidia hum hum JF maana kwa sasa mm nipo Dubai kunawawekezaji nawafuatilia tunataka tuje lima UFUTA in large scale ata nikupa mawasiliano itakua ni bule maana tunatembea kutoka sehemu moja kwenda nyingine.
 
Understood
 
Hii mbegu imefanyiwa research kule Mtwara na kituo kimoja kinaitwa Naliendele ni mbegu nzuri na inauwezo mkubwa wa kuvumilia magonjwa yaani lazima uvune na inastawi sehemu zote kwenye hali yenye rutuba Dodoma inafanya vizuri sana ukiweza kulima utaamini kuna mzee mmoja huko ni mtaalamu sana nitaongea nae niwaunganishe yy yuko chamwino.

Hyo mbegu inaitwaje na inapatikana wp?
I mean naipataje?
Nawez pia.kujua aina zingine za mbegu za ufuta besides hyo?
 
Niko dar
Nalima Kilwa kuna semeh inaitwa somanga

Well Somanga pako vizuri pia ila ukilima pale uwe mwangalifu wadudu na magonjwa maana watu wengi wanalima kwa sasa ufuta kuna watu inabidi nikuunganishe nao wako hapo somanga huwa wanagiza mbegu hii ya Lindi 02 kwa sababu inafanya vizuri sana somanga harakaharaka ninakutajia aina za ufuta hapa TZ nikianza na inaya fanya vizurisana 1.

Lindi02 huchukua siku 100 hadi 110 kukomaa na utapat hadi kilo 1500 p/ha 3. Ziada 94 huchukua siku 120 hadi 130 kukomaa na waweza pata maximum hadi kilo 1000 p/ha 4. Zawadi 94 siku 105 hadi 115 kg 1000 p/ha na 2. naliendele 92
huchukua siku hadi 110 na utapata maximum kg 1200 p/ha.

sorry naona unanifanya nifungue darasa sasa; hivi siwezi pata eneo huko Somanga kama lipo naweza pata kwa kiasi gani?
 
Hii mbegu imefanyiwa research kule Mtwara na kituo kimoja kinaitwa Naliendele ni mbegu nzuri na inauwezo mkubwa wa kuvumilia magonjwa yaani lazima uvune na inastawi sehemu zote kwenye hali yenye rutuba Dodoma inafanya vizuri sana ukiweza kulima utaamini kuna mzee mmoja huko ni mtaalamu sana nitaongea nae niwaunganishe yy yuko chamwino.
Nitashukuru sana mkuu. Namba zangu ni 0713339762. Niunganishe nae huyo mtu maana nami shamba nimeandaa chamwino tayarI.
 
Mkuu,

Nahitaji wauzaji wa Sezame kwa wingi. Kama unazo au una contact, basi niandikie email: Ssambali@hotmail.com.

Kuna jamaa hapa Poland wameniuliza kama watapata Sesame kutoka Tanzania.

Nakaribisha pia mtu yeyote mwenye kujua soko la zao hilo au yeye mwenyewe anazo. tuwasiliane.

Nimeanza kuvuna ufuta shambani kwangu, kwa sasa nafanya comparison ya bei na wanunuzi. JF ni jungu kuu naombeni member wenye kujua wanunuzi mbali mbali wanipe contacts zao ile nilinganishe bei nifanye right choice ktk kuuza mzigo.
Thanks wadau wote.
 
Mkuu, naona unajua sana hii habari ya Sesame. Nahitaji kwa ajili ya kununua/jamaa fulani hapa kwetu wanahitaji.

Soma ujumbe hapo juu na niandikie kama una habari za wapi unauzwa: Ssambali@hotmail.com. Huenda nikapata soko.

Back
Top Bottom